Yaani maelezo sahihi ni hayo uliyopewa Hospital! Hapa jf ni porojo tu!!! Sasa hautaki kuamini maelekezo ya Hospital unadhani ya hapa jf ndio sahihi zaidi!???Je mate yanaweza kueneza HIV? Kuna mtu kanitemea mate kwa bahati mbaya na yamenigusa sehemu ya mkono iliyokuwa na mchubuko. Nimeenda hosp 3 tofauti kwa hofu ya kuambukizwa virus wanipe dawa za kuzuia maambukizi ila kote madr wanagoma kwa kutoa sababu kwamba katika mate hakuna virusi na hata kama vipo kwa namna yoyote haviwezi sababisha ukimwi kwa sababu ya Load ndogo. Ilikuwa ni jana, kwa wataalamu wa haya mambo hii imekaaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Dada Sky Eclat hizi sijui semen au vaginal fluids hazina uhalisia saaana yaani funga kazi ni damu. Ukipata expossure ya damu hapo risk yake ni kubwa mnooContraction kubwa ya virus iko kwenye damu na sperms. Mate yana concentration ndogo sana.
Huko kwenye mate au sprems wanaishije mana navyojua hua wanaishi kwenye WBC,Contraction kubwa ya virus iko kwenye damu na sperms. Mate yana concentration ndogo sana.
Duh!!!,Lita 20Ili upate HIV kupitia mate. Nilazima unywe mate kuanzia Lita ishirini 20 na kuendelea ukooooo.
Hapa mate sio inshu. Inshu nipale mnaponyonyana alafu nyote muwe na vimchubuko viwezavyo kutoa damu nakupokea damu.
The Devil puts a spoonful of honey into neighbor's Wife
Ni mate au mmeshiriki!?? Zimepita saa 72!???nimelazimisha nimepewa PEP mchana huu sitaki kuishi kwa hofu. Wakati mwingine madaktari hawajui risk factors na hofu anayopata mhanga..
Bora nizipige tu kabla haijawa too late maana mtu mwenyewe kagoma kwenda kupima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo pia huwa unafanya unaposhiriki ngono zembe?nimelazimisha nimepewa PEP mchana huu sitaki kuishi kwa hofu. Wakati mwingine madaktari hawajui risk factors na hofu anayopata mhanga..
Bora nizipige tu kabla haijawa too late maana mtu mwenyewe kagoma kwenda kupima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Du pole Sana umejaa hofu kuu. Ushauri uliopewa hospital ndio sahihinimelazimisha nimepewa PEP mchana huu sitaki kuishi kwa hofu. Wakati mwingine madaktari hawajui risk factors na hofu anayopata mhanga..
Bora nizipige tu kabla haijawa too late maana mtu mwenyewe kagoma kwenda kupima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiandae kisaikolojia na hayo madonge! Sio ya mchezo mchezo kama unavyofikiria miksa kuota upo kuzimunimelazimisha nimepewa PEP mchana huu sitaki kuishi kwa hofu. Wakati mwingine madaktari hawajui risk factors na hofu anayopata mhanga..
Bora nizipige tu kabla haijawa too late maana mtu mwenyewe kagoma kwenda kupima.
Sent using Jamii Forums mobile app
ni mate tu alikuwa anatema halafu ni mlevimlevi na nilkuwa nina mchubuko mkononi moja kwa moja yakadondokeapo.. shida ni endapo kulikuwa na vidamudamu kwenye mate yake hapo anaweza niambukiza.Ni mate au mmeshiriki!?? Zimepita saa 72!???
Mkuu kama mate yangeambukiza ungekuta karibu 40% ya Population wana HIV. Hebu fuata hii link ya CDC
https://www.cdc.gov/hiv/basics/transmission.html
nimeambiwa hivyo na nurse aliyenipa... tatizo jamaa aliyenitemea mate aligoma kwenda kupima.. licha ya kumweleza risk ya mate yake kuwa na virus kama yuko poa nisisumbuke na haya madongeJiandae kisaikolojia na hayo madonge! Sio ya mchezo mchezo kama unavyofikiria miksa kuota upo kuzimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Je mate yanaweza kueneza HIV? Kuna mtu kanitemea mate kwa bahati mbaya na yamenigusa sehemu ya mkono iliyokuwa na mchubuko. Nimeenda hosp 3 tofauti kwa hofu ya kuambukizwa virus wanipe dawa za kuzuia maambukizi ila kote madr wanagoma kwa kutoa sababu kwamba katika mate hakuna virusi na hata kama vipo kwa namna yoyote haviwezi sababisha ukimwi kwa sababu ya Load ndogo. Ilikuwa ni jana, kwa wataalamu wa haya mambo hii imekaaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo mtu ana HIV? Kapime then upime 3 months. Kama hauna amani bora wakupe dawa PEP.Je mate yanaweza kueneza HIV? Kuna mtu kanitemea mate kwa bahati mbaya na yamenigusa sehemu ya mkono iliyokuwa na mchubuko. Nimeenda hosp 3 tofauti kwa hofu ya kuambukizwa virus wanipe dawa za kuzuia maambukizi ila kote madr wanagoma kwa kutoa sababu kwamba katika mate hakuna virusi na hata kama vipo kwa namna yoyote haviwezi sababisha ukimwi kwa sababu ya Load ndogo. Ilikuwa ni jana, kwa wataalamu wa haya mambo hii imekaaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
no ilikuwa jana jmosi saa nne hivi asubuhi... na mm nilikuwa nakimbizana na hayo masaa.. hosp nimewaeleza na kuwaonyesha mchubuko nilionao ambako mate yamedondokea wakawa wanakomaa nije na huyo mtu kwanza na yy apimwe.. nikawaambia kumpata ni ngumu na pia anaweza agome.. ikabidi wanipime ma hepatisis, syphilis na HIV,Ni mate au mmeshiriki!?? Zimepita saa 72!???
Mkuu kama mate yangeambukiza ungekuta karibu 40% ya Population wana HIV. Hebu fuata hii link ya CDC
https://www.cdc.gov/hiv/basics/transmission.html
Ndo umuhimu wa kuweka plasta kwenye mchubuko wowote. Hapo utakuwa haupo sawa kisaikolojia. Nenda walilie wakupe dawa. Wadanganye hata ulitembea na muathirika.ni mate tu alikuwa anatema halafu ni mlevimlevi na nilkuwa nina mchubuko mkononi moja kwa moja yakadondokeapo.. shida ni endapo kulikuwa na vidamudamu kwenye mate yake hapo anaweza niambukiza.
kujihami nimeona isiwe tabu nipambane na PEP.
Sent using Jamii Forums mobile app
nimepewa tayari hapa najiandaa kumeza sasa duuh haya maisha kuna mambo mengi ya hatari....Ndo umuhimu wa kuweka plasta kwenye mchubuko wowote. Hapo utakuwa haupo sawa kisaikolojia. Nenda walilie wakupe dawa. Wadanganye hata ulitembea na muathirika.