Maisha si ya kucheka nayo.. nimekomaa mpaka wamenipa...Niliwaambia kabisa sitoki mpk nipewe PEP na ushauri zaidi sitaki, hii ni public hosp....Huyo mtu ana HIV? Kapime then upime 3 months. Kama hauna amani bora wakupe dawa PEP.
Kumbuka hospitali hawatoi maelezo ya kukutisha hata siku moja bali wanatoa maelezo ya kukufariji. Kama ni hivyo isemavyo ni kwanini kuna dawa maalum ya masaa 24 wanapewa ya kujizuia manesi na madaktari pindi wanapohisi wametoa huduma kwa mgonjwa na akajihisi amegusana na maji maji ya mgonjwa?Yaani maelezo sahihi ni hayo uliyopewa Hospital! Hapa jf ni porojo tu!!! Sasa hautaki kuamini maelekezo ya Hospital unadhani ya hapa jf ndio sahihi zaidi!???
Safi sana. Maana ungeishi kwa wasiwasi sana.Maisha si ya kucheka nayo.. nimekomaa mpaka wamenipa...Niliwaambia kabisa sitoki mpk nipewe PEP na ushauri zaidi sitaki, hii ni public hosp....
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wanasema hizo dawa zinachosha ila komaa tu uzimalize.nimepewa tayari hapa najiandaa kumeza sasa duuh haya maisha kuna mambo mengi ya hatari....
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona umegoma kujibu swali langu unataka bifu?🐸🐸Contraction kubwa ya virus iko kwenye damu na sperms. Mate yana concentration ndogo sana.
Contraction kubwa ya virus iko kwenye damu na sperms. Mate yana concentration ndogo sana.
na kwa kumalizia tu ni kuwa hizo dawa ni hizo hizo ARV wanazokunywa waathirika, ispokuwa ukizitumia kama PEP ni siku 28, mwathirika ni kwa maisha yake yote yaliyobaki akiwa hai.Kwa kuongezea tu hizi dawa zinatumiwa na wahudumu wa afya, watoa huduma za kwanza na makundi maalumu yaliyo katika hatari ya kuambukizwa wakiwa katika majukumu yao ya kila siku.
Ni za gharama mnoo kwani hugharimu mpk usd 800 kwa dozi na ndiyo maana ukienda na maelezo legelege hupewi hivihivi, endapo umekutana na kadhia kama hii.
Sent using Jamii Forums mobile app
5th day.....Ila wanasema hizo dawa zinachosha ila komaa tu uzimalize.
How do you Feel?keep going no matter what.
hii kitu inatesa niliwahi kutumia 30 days ni balaanimelazimisha nimepewa PEP mchana huu sitaki kuishi kwa hofu. Wakati mwingine madaktari hawajui risk factors na hofu anayopata mhanga..
Bora nizipige tu kabla haijawa too late maana mtu mwenyewe kagoma kwenda kupima.
Sent using Jamii Forums mobile app