Mate na HIV

Mate na HIV

Yaani maelezo sahihi ni hayo uliyopewa Hospital! Hapa jf ni porojo tu!!! Sasa hautaki kuamini maelekezo ya Hospital unadhani ya hapa jf ndio sahihi zaidi!???
Kumbuka hospitali hawatoi maelezo ya kukutisha hata siku moja bali wanatoa maelezo ya kukufariji. Kama ni hivyo isemavyo ni kwanini kuna dawa maalum ya masaa 24 wanapewa ya kujizuia manesi na madaktari pindi wanapohisi wametoa huduma kwa mgonjwa na akajihisi amegusana na maji maji ya mgonjwa?

Mkorintho wa 6
 
Yes, it’s possible but unlikely.

Like in every infection there has to be a large enough inoculate/ inoculum (? Not sure got to say it in English) in order for the bacteria / virus to infect the patient.

Things aren’t different in HIV infection. If the person who spat at you is properly medicated and has a negative virus load, the chances are practically zero. If he isn’t, it depends on how high is his virus load and how much viruses could have been in that mix of blood and saliva.

Get yourself tested, it’s the best way to ease your mind, but you can be sure that the chances are low!



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mate yanaweza kua na virusi endapo alokutemea alikua na vidonda ndani ya mdomo hivyo virusi kutoka kwenye kidonda vikajichanganya na mate.. inawezekana ukapata virusi...

Kaa tayari kuvipokea.. nadhani ata papuchi hujala sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya inshu nimesosma articles nyingi kuhusu HIV na fact ni hizi

1. katika mate virus hawawez kusurvive unless kuwe na vidonda mdomon hivyo kuishi kwenye damu iliyomo ndani ya mate.

2. hata kama vikiwemo viral load yake ni ndogo mnoo kiasi cha kutokuweza kuambukiza..

3. mate chance yake ya kuambukiza ni 0.3 na ni endapo HIV positive person yuko katiks critical stages..

Hizo ni fact, so for me hiyo 0.3 ndiyo sikutaka nikae na wasiwasi nayo sana ingawaje mtu mwenyewe anaweza kuwa ni negative.

Chance ya mm kuwa infected ni 0.3 almost negligible. PEP was the only option kuliko kuja na "ningejua"

Ni vyema ukiwa katika risk kupata ushauri wa madaktari ila vilevile kujiongeza kwa kusoma mwenyewe na kufanya maamuzi magumu maana ni swala linalohusu uhai binafsi....



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuongezea tu hizi dawa zinatumiwa na wahudumu wa afya, watoa huduma za kwanza na makundi maalumu yaliyo katika hatari ya kuambukizwa wakiwa katika majukumu yao ya kila siku.

Ni za gharama mnoo kwani hugharimu mpk usd 800 kwa dozi na ndiyo maana ukienda na maelezo legelege hupewi hivihivi, endapo umekutana na kadhia kama hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa kuongezea tu hizi dawa zinatumiwa na wahudumu wa afya, watoa huduma za kwanza na makundi maalumu yaliyo katika hatari ya kuambukizwa wakiwa katika majukumu yao ya kila siku.

Ni za gharama mnoo kwani hugharimu mpk usd 800 kwa dozi na ndiyo maana ukienda na maelezo legelege hupewi hivihivi, endapo umekutana na kadhia kama hii.

Sent using Jamii Forums mobile app
na kwa kumalizia tu ni kuwa hizo dawa ni hizo hizo ARV wanazokunywa waathirika, ispokuwa ukizitumia kama PEP ni siku 28, mwathirika ni kwa maisha yake yote yaliyobaki akiwa hai.

Hivyo basi hicho kikopo tukikiona tunajua umewaka tayari, hakuna mwenye kudhani hizo ni PEP

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimelazimisha nimepewa PEP mchana huu sitaki kuishi kwa hofu. Wakati mwingine madaktari hawajui risk factors na hofu anayopata mhanga..

Bora nizipige tu kabla haijawa too late maana mtu mwenyewe kagoma kwenda kupima.

Sent using Jamii Forums mobile app
hii kitu inatesa niliwahi kutumia 30 days ni balaa
 
they were bad in the first five days.. kizunguzungu mchana wote na usingizi nilikuwa sipati vyema, ndoto za ajabu siku mbili ama tatu za mwanzo, kichefuchefu sana, kidogo sana niache ilibidi kazini niombe ruhusa ya ugonjwa but kuanzia jmos naona poa.. Mpaka nimalize....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom