Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Inatisha sana.Hasa hapo wanapokula unga kwa kijiko kama ubwabwa.Hii biashara kiasi kikubwa inafanyiwa na wanasiasa wenye pesa na connection. Kuimaliza Ni Kuhukumiwa KIFO. Ona (video) wanaharibu vijana
Waliwahi kutajwa Wanasiasa wakubwa katika biashara hiyo la ajabu bado wapo wanapeta.Hii biashara kiasi kikubwa inafanywa na wanasiasa wenye pesa na connection. Kuimaliza ni Kuhukumiwa KIFO. Ona (video) wanavyoharibu vijana mtaani.
Depopulation agenda, madawa, ushoga na ukiwagusa wanakuua.Hii biashara kiasi kikubwa inafanywa na wanasiasa wenye pesa na connection. Kuimaliza ni Kuhukumiwa KIFO. Ona (video) wanavyoharibu vijana mtaani.
Sikatai ulisemalo kuhusu "wanasiasa" ni ukweli usiopingika, kwani huko nyumaKimataifa, tulijionea likiibuka disaster la USA kama nchi wakijiingiza kwenye kuuza na kusambaza madawa ya kulevya (Rejea kisa cha Iran -Contra).Hii biashara kiasi kikubwa inafanywa na wanasiasa wenye pesa na connection. Kuimaliza ni Kuhukumiwa KIFO. Ona (video) wanavyoharibu vijana mtaani.
Hivi Hawa walivyolegea hivyo mtu mwenye Upwiru si anajipigia tu?Hii biashara kiasi kikubwa inafanywa na wanasiasa wenye pesa na connection. Kuimaliza ni Kuhukumiwa KIFO. Ona (video) wanavyoharibu vijana mtaani.
Hivi wewe bibi huwa kichaa?Sikatai ulisemalo kuhusu "wanasiasa" ni ukweli usiopingika, kwani huko nyumaKimataifa, tulijionea likiibuka disaster la USA kama nchi wakijiingiza kwenye kuuza na kusambaza madawa ya kulevya (Rejea kisa cha Iran -Contra).
Pia hivi sasa USA wanishangaza dunia kwa kukasirika, baada ya kutandikwa na kutimuliwa Afghanistan na Taliban, sasa hivi USA wanalalamika kwanini taliban wanapiga marufuku na kuteketeza maao ya Opium ambayo ni chanzo kikuu cha madawa ya kulevya yanayojulikana kama "heroin". Ni ajabu, Taliban wanateketeza madawa ya kulevya yaliyowaathiri raia wengi wa Afghanistan kipindi wapo vitani na MATO, sasa waameshika madaraka wanaondoa huo uozo, USA wanakasirika. Inashangaza sana lakini ndiyo ukweli.
Kwa upande meengine tunaona kanisakatoliki, ambalo ni kanisa kubwa duniani, ndilo linalochochea madawa ya kulevya na maasi mengine. Ushahidi huu hapa chini:
Padri wa Kanisa Katoliki nchini Italia amewekwa chini ya kifungo cha nyumbani kwa madai ya kuiba zaidi ya dola 117,000 za Marekani katika fedha za kanisa na michango ya wapagani kwa ajili ya madawa ya kulevya na sherehe za ngono za mashoga nyumbani kwake.
Mchungaji Francesco Spagnesi, 40, wa Prato, Italia, ambaye alijulikana kwa homilies yake ya kuvutia, alikamatwa baada ya polisi kudaiwa kuwa mwenzake wa chumba alikuwa ameingiza lita ya dawa ya ubakaji ya GHB kutoka Uholanzi,
Soma zaidi: Italian priest allegedly stole church funds for drugs, gay sex parties
madudu kama hayo ni mengi sana kanisani.
Huu mtandao wa madwa ya kulevya ni mkubwa sana duniani na unahatari kubwa sana, ni mpango madhubuti wa kishetani.
Hakuna siasa hapo, hapo ni tamaa ya utajiri.Hii biashara kiasi kikubwa inafanywa na wanasiasa wenye pesa na connection. Kuimaliza ni Kuhukumiwa KIFO bila kuchelewa. Ona (video) wanavyoharibu vijana mtaani.