George J Minja
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 289
- 203
hata kama ni usharobaro huu umezidi,yaani wanafunzi wakiume wa chuo wanalawitiwa na mateja na wanadhubutu kujitangaza kwenye magazeti na radio kwamba tumelawitiwa men,na kuibiwa laptop na sim
Enzi zetu aliingia kibaka pale hostel tulikula nae shani moja waliokuwepo wanakumbuka alichofanyiwa yule kibaka leo hii MATEJA MABEACHBOY wanaingia na kulawiti nyie mnategemea polis??
hata kama ni usharobaro huu umezidi,yaani wanafunzi wakiume wa chuo wanalawitiwa na mateja na wanadhubutu kujitangaza kwenye magazeti na radio kwamba tumelawitiwa men,na kuibiwa laptop na sim Enzi zetu aliingia kibaka pale hostel tulikula nae shani moja waliokuwepo wanakumbuka alichofanyiwa yule kibaka leo hii MATEJA MABEACHBOY wanaingia na kulawiti nyie mnategemea polis??
Hujui kitu kaa kimya.
Unajua scenario ilivyokua au unakurupuka tu na vimfano vyako unavyovijua wewe??
Mtoto wa kiume mpaka kafanyiwa jambo lile ujue haikua tukio dogo.
Hamna sababu ya kuwakejeli hao wahanga wa tukio husika kwa sababu haukuwepo at material time.
mkuu, huyu jamaa hajui kitu anaandika tu ili kufurahisha watu. Yeye anachukulia kila kitu utani tu!
Hata kama wangekuwa MATEJA MIA kupakuliwa mwanaume wa ukweli sio kitu rahisi,halafu ukishapakuliwa jamo la maana ni kwenda kutangazia UMA eeeh kama mlivyofanya???eti mmepakuliwa halafu mnaenda kutangaza kwenye TV tumepakuliwa meeeeeeeeeeeeeeeeeen;;
Na mkaona maandamano ndio suluhisho la kupakuliwa??sasa polisi wamewasidia nini acheni usharobaro;;
wanaume wa kweli sio nguvu tuu hata akili za maamuzi,
Haiwezekani idadi yote ya wanachuo waliwe tigo na mateja watatu
Haya matoto ni mapunga bana
Ni kweli ila inategemea, maana nasikia ilikuwa mtu zaidi ya kumi kwa wanafunzi watatu