George J Minja
JF-Expert Member
- Jan 8, 2013
- 289
- 203
hata kama ni usharobaro huu umezidi,yaani wanafunzi wakiume wa chuo wanalawitiwa na mateja na wanadhubutu kujitangaza kwenye magazeti na radio kwamba tumelawitiwa men,na kuibiwa laptop na sim
Enzi zetu aliingia kibaka pale hostel tulikula nae shani moja waliokuwepo wanakumbuka alichofanyiwa yule kibaka leo hii MATEJA MABEACHBOY wanaingia na kulawiti nyie mnategemea polis??
Enzi zetu aliingia kibaka pale hostel tulikula nae shani moja waliokuwepo wanakumbuka alichofanyiwa yule kibaka leo hii MATEJA MABEACHBOY wanaingia na kulawiti nyie mnategemea polis??