Ndala ndefu
JF-Expert Member
- Dec 24, 2012
- 237
- 42
Sasa nyie mnashangaa nini? Ebu angalieni type ya wanafunzi wa kike na kiume wanaosoma ktk kile chuo na mlinganishe na wanafunzi ktk vyuo vingne ndo mtapata jibu lenu. Kile chuo masharo na maduu bwana, na kuliwa 0712 hawajaanza leo wale bali ni mwendlezo. Kwa upande wangu hata kama wangekuwa 10 nikiwa peke yangu pangechimbk, lazima mmoja kati yao angesimulia na yeye.