Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 51,303
- 40,190
Wanaukumbi.
⚡️JUST IN:
An agreement has been reached regarding the Israeli prisoner Arbel Yahud; she will be released next Friday, while Israel will release 30 prisoners serving life sentences.—Hebrew Maariv Newspaper.
===============
⚡️Makubaliano yamefikiwa kuhusu mfungwa wa Israel Arbel Yahud; ataachiliwa Ijumaa ijayo, huku Israel ikiwaachilia wafungwa 30 wanaotumikia vifungo vya maisha.
Netanyahu, bado ana hasira baada ya kuona Hamas wamerudi upya ametoa tangazo Wapalestina, hawawezi kuruhusiwa kurudi kwenye makazi yao mpaka huyu
Mateka Yahud.aachiliwe alikuwa anajua amekufa Hamas hawawezi kuwa na majibu katumiwa video yupo hai.
View: https://x.com/suppressednws/status/1883559662450340021?s=12&t=mTROWpaJUT8H393JMgWOvw
Gazeti la Kiebrania Maariv.