Wadau wa jukwaa hili heshima kwenu. Wadau kijijini kwetu ukisema mate mbele ni matusi haina haja niingie ndani zaidi, mate mbele ni matusi, ila mboga hiyo usahihi wake huitwa tembele haina wingi kama ilivyo mchicha au kisamvu na kadhalika. wana lugha ukumbi wenu kuweka sawa neno hili ahsanteni.