Matembezi ya Amani Arusha ya Samia First Time Voters. Jokate awataka vijana kujitokeza kugombea nafasi za uongozi

Joined
May 4, 2024
Posts
5
Reaction score
11
Maelfu ya vijana kutoka vyuo na vyuo vikuu Mkoani Arusha wamejitokeza kwa wingi katika matembezi ya amani yaliyofanyika jijini Arusha kuonesha mshikamano na kuunga mkono juhudi za Mhe. Rais Samia katika kuwaletea maendeleo, hususan kwenye sekta ya elimu.

Kupitia ongezeko la mikopo na kuboreshwa kwa mazingira ya kujifunzia...!! Wasomi wa Tanzania wanajivunia mafanikio ya Serikali ya Rais Samia.

Mgeni rasmi katika tukio hilo muhimu alikuwa Katibu Mkuu wa UVCCM, Jokate Mwegelo, ambaye aliwahamasisha vijana kuendelea kuwa mstari wa mbele katika kulinda amani wakati huu tunapoelekea Uchaguzi Mkuu Mwezi Oktoba, 2025 na kuchangamkia fursa ya kushiriki uchaguzi kwa kugombea nafasi mbalimbali za uongozi katika Maeneo yao.









 
Samia first time voters, samia kalamu awards, Samia cup, samia, samia, samia, samia....Eeh Too much samia sasa!!!
 
Matembezi ya kampeni za kisiasa unayaitaje ya amani? Hawa nyumbu si wamezolewa tu
 
kama mna wapiga kura, mbona mnaingia na vibegi vya kura?
 
Vijana machawa wa ccm.
Wakitoka huko waende veta ajira hakuna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…