Inaonekana kwa sasa kuna hali isiyo ya kawaida, kana kwamba polisi wetu wanapewa posho au zawadi kubwa pindi wanapoonyesha wamempiga mfuasi wa CHADEMA. ile video inayosambaa ikionyesha mfuasi mmoja aliyefika mahakamani kufuatilia kesi ya Lissu leo akishambuliwa vibaya mno, kana kwamba alikuwa hana utu wala hadhi ya kibinadamu.
Mimi binafsi ni mwanachama wa CCM, lakini sikubaliani kabisa na vitendo hivi. Sioni sababu ya taifa letu kufika kwenye hatua ya ukatili wa namna hii. Pia, kwa hali ilivyokuwa leo mahakamani, sidhani kama kulikuwa na viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani.
Ni wazi kwamba askari wetu wanapaswa kupunguza hasira na kutumia hekima zaidi, kwani vitendo hivi vinatia doa kubwa kwa serikali. Polisi mnapaswa kujikita zaidi katika kutoa elimu kwa raia, kwa sababu elimu ndiyo suluhisho la msingi, na kupiga au kutumia nguvu lazima iwe hatua ya mwisho kabisa. Watanzania wengi ni waelewa, na mara nyingi heshima na maelekezo ya staha hutosha.
Kwa tukio la leo, polisi wameiingiza serikali kwenye fedheha kubwa, hasa katika kipindi hiki nyeti cha uchaguzi. Ni jambo la aibu na linapaswa kuchukuliwa hatua za haraka kurekebisha.
Kumbe aliwashambulia kwanza?? Basi sikuiona hiyo clip ya mwanzo.Mahakama imejaa polisi wanawaondoa waliokosa nafasi yeye kawarushia ngumi polisi , walichompa ndicho anachostahili ili siku nyingine asirudie kuwashambulia watu wanapotekeleza majukumu yao
Kwa hali iliyopo polisi wanataka kutengeneza fear, kifupi wahudhuriaji wanatafutwa kwenye kumi na nane wapnekane wanafanya vuruguKumbe aliwashambulia kwanza?? Basi sikuiona hiyo clip ya mwanzo.
AiseeMahakama imejaa polisi wanawaondoa waliokosa nafasi yeye kawarushia ngumi polisi , walichompa ndicho anachostahili ili siku nyingine asirudie kuwashambulia watu wanapotekeleza majukumu yao
Alafu baadae waseme chadema hawendi mahakamani wamemtelekeza mwenyekiti waoKwa hali iliyopo polisi wanataka kutengeneza fear, kifupi wahudhuriaji wanatafutwa kwenye kumi na nane wapnekane wanafanya vurugu
Yenyewe inasema haiuna masikio,hivyo ni na shaka pia na utu wake!Inaonekana kwa sasa kuna hali isiyo ya kawaida, kana kwamba polisi wetu wanapewa posho au zawadi kubwa pindi wanapoonyesha wamempiga mfuasi wa CHADEMA. ile video inayosambaa ikionyesha mfuasi mmoja aliyefika mahakamani kufuatilia kesi ya Lissu leo akishambuliwa vibaya mno, kana kwamba alikuwa hana utu wala hadhi ya kibinadamu.
Mimi binafsi ni mwanachama wa CCM, lakini sikubaliani kabisa na vitendo hivi. Sioni sababu ya taifa letu kufika kwenye hatua ya ukatili wa namna hii. Pia, kwa hali ilivyokuwa leo mahakamani, sidhani kama kulikuwa na viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani.
Ni wazi kwamba askari wetu wanapaswa kupunguza hasira na kutumia hekima zaidi, kwani vitendo hivi vinatia doa kubwa kwa serikali. Polisi mnapaswa kujikita zaidi katika kutoa elimu kwa raia, kwa sababu elimu ndiyo suluhisho la msingi, na kupiga au kutumia nguvu lazima iwe hatua ya mwisho kabisa. Watanzania wengi ni waelewa, na mara nyingi heshima na maelekezo ya staha hutosha.
Kwa tukio la leo, polisi wameiingiza serikali kwenye fedheha kubwa, hasa katika kipindi hiki nyeti cha uchaguzi. Ni jambo la aibu na linapaswa kuchukuliwa hatua za haraka kurekebisha.
Naam yani kisiasa zaidiAlafu baadae waseme chadema hawendi mahakamani wamemtelekeza mwenyekiti wao
Inaonekana kwa sasa kuna hali isiyo ya kawaida, kana kwamba polisi wetu wanapewa posho au zawadi kubwa pindi wanapoonyesha wamempiga mfuasi wa CHADEMA. ile video inayosambaa ikionyesha mfuasi mmoja aliyefika mahakamani kufuatilia kesi ya Lissu leo akishambuliwa vibaya mno, kana kwamba alikuwa hana utu wala hadhi ya kibinadamu.
Mimi binafsi ni mwanachama wa CCM, lakini sikubaliani kabisa na vitendo hivi. Sioni sababu ya taifa letu kufika kwenye hatua ya ukatili wa namna hii. Pia, kwa hali ilivyokuwa leo mahakamani, sidhani kama kulikuwa na viashiria vyovyote vya uvunjifu wa amani.
Ni wazi kwamba askari wetu wanapaswa kupunguza hasira na kutumia hekima zaidi, kwani vitendo hivi vinatia doa kubwa kwa serikali. Polisi mnapaswa kujikita zaidi katika kutoa elimu kwa raia, kwa sababu elimu ndiyo suluhisho la msingi, na kupiga au kutumia nguvu lazima iwe hatua ya mwisho kabisa. Watanzania wengi ni waelewa, na mara nyingi heshima na maelekezo ya staha hutosha.
Kwa tukio la leo, polisi wameiingiza serikali kwenye fedheha kubwa, hasa katika kipindi hiki nyeti cha uchaguzi. Ni jambo la aibu na linapaswa kuchukuliwa hatua za haraka kurekebisha.
Mbona ipo sheria ya kumshitaki na kuadhibiwa kihalali kwa kosa hilo?Kumbe aliwashambulia kwanza?? Basi sikuiona hiyo clip ya mwanzo.