T The lariat JF-Expert Member Joined May 16, 2025 Posts 1,351 Reaction score 1,928 Sep 15, 2025 #21 Mswahili anampiga mswahili kwa posho ndogo aliyopewa na gabachori mwanamtandao Raaziz ambaye yuko nyumbani kwake Masaki anawaangalia kwenye screen.
Mswahili anampiga mswahili kwa posho ndogo aliyopewa na gabachori mwanamtandao Raaziz ambaye yuko nyumbani kwake Masaki anawaangalia kwenye screen.
A annatee JF-Expert Member Joined Aug 15, 2021 Posts 1,432 Reaction score 2,722 Sep 15, 2025 #22 Polisi wanazidi kutengeneza chuki siku raia kila mmoja akitoka na jiwe mkononi ndio mtaelewa makasiriko ya wengi ni mabaya kuliko ya wachache
Polisi wanazidi kutengeneza chuki siku raia kila mmoja akitoka na jiwe mkononi ndio mtaelewa makasiriko ya wengi ni mabaya kuliko ya wachache
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 179,428 Reaction score 197,153 Sep 15, 2025 #23 Inasikitisha sana... Cc: Mahondaw
N Nanye Go JF-Expert Member Joined Oct 29, 2018 Posts 14,379 Reaction score 19,134 Sep 16, 2025 #24 Hahaha wewe ndiye uelewi, polusi na matendo yao ni kuwalinda watawala siyo nyie na siyo kuwadhalilusha, bali ni kuwajengea nyie hofu.
Hahaha wewe ndiye uelewi, polusi na matendo yao ni kuwalinda watawala siyo nyie na siyo kuwadhalilusha, bali ni kuwajengea nyie hofu.