Matengenezo ya hitilafu ya bomba kubwa yatakayoathiri huduma ya Maji kwa Wakazi wa Ilala hadi Magomeni

Matengenezo ya hitilafu ya bomba kubwa yatakayoathiri huduma ya Maji kwa Wakazi wa Ilala hadi Magomeni

Pfizer

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2021
Posts
819
Reaction score
1,093
Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) inawataarifu Wateja na Wananchi wa Maeneo ya Muhimbili hadi Magomeni katika Wilaya ya Ilala na Magomenu kuwa, kutakuwa na ukosefu wa huduma ya Maji kwa saa 10,

Muda: Jumatano Oktoba 28, 2026 kuanzia Saa 4: 00 Asubuhi hadi 2:00 Usiku

Sababu: Kuruhusu matengenezo ya hitilafu ya bomba la inchi 16 eneo la Jagwani.

Maeneo yatakayoathirika:

Hospitali ya Taifa Muhimbili, Taasisi ya Mifupa MOI, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi (MUHAS), Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Upanga, Kariakoo, Magomeni Dosa, Magomeni eneo la Ubungo, Jangwani na Kiwanda cha TBL

Tunaomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza

Dawasa.png
 
Back
Top Bottom