Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es salaam (DAWASA) inawataarifu Wateja na Wananchi wa Maeneo ya Muhimbili hadi Magomeni katika Wilaya ya Ilala na Magomenu kuwa, kutakuwa na ukosefu wa huduma ya Maji kwa saa 10,
Muda: Jumatano Oktoba 28, 2026 kuanzia Saa 4: 00 Asubuhi hadi 2:00 Usiku
Sababu: Kuruhusu matengenezo ya hitilafu ya bomba la inchi 16 eneo la Jagwani.
Maeneo yatakayoathirika:
Hospitali ya Taifa Muhimbili, Taasisi ya Mifupa MOI, Chuo Kikuu cha Afya na Sayansi Shirikishi (MUHAS), Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Upanga, Kariakoo, Magomeni Dosa, Magomeni eneo la Ubungo, Jangwani na Kiwanda cha TBL