Mateo Guendouzi

Mateo Guendouzi

RASCO BOY

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2018
Posts
428
Reaction score
485
Unbeliavable Talent..Miaka 19, anapiga pasi za pirlo, ana-turn kama Xavi, Mnyonge tumnyonge, Haki yake tumpe..FUNDI.
FB_IMG_1534834218754.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
hakuna player hata mmoja wa chama langu united anaemfikia huyu dogo
 
Dogo tokea Pre-Season alikua anauwasha moto si wa kitoto, kama hatobweteka huko mbeleni namuona kabisa atakua moja ya viungo mahiri kabisa duniani
 
Nadhani ni mapema sana kwa match mbili kujudge uwezo wa huyu mtu ila muda zaidi unahitajika kusema jambo kama hzi sifa ni stahiki au la.

Sent using Jamii Forums mobile app
yeah but ukizingatia kuwa ametoka ligi daraja la pili tena ufaransa moja kwa moja kucheza ligi kuu england anajua kwakweli, sema tu arsenal wampe muda angalau mpk msimu ukiisha atakua vzuri sana km atakua anapata muda wa kutosha
 
Arsenal Mtapata tabu sana kwa hawa wachezaji wenu.
1. Mavopopapastolous
2. Maitland
3. Gunduz
3. Takuma
😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom