Fellainihakuna player hata mmoja wa chama langu united anaemfikia huyu dogo
Tutawa Matteo Manywele afu nyie mtupe Manywele Fellainhakuna player hata mmoja wa chama langu united anaemfikia huyu dogo
Nyota njema....!Nadhani ni mapema sana kwa match mbili kujudge uwezo wa huyu mtu ila muda zaidi unahitajika kusema jambo kama hzi sifa ni stahiki au la.
Sent using Jamii Forums mobile app
yeah but ukizingatia kuwa ametoka ligi daraja la pili tena ufaransa moja kwa moja kucheza ligi kuu england anajua kwakweli, sema tu arsenal wampe muda angalau mpk msimu ukiisha atakua vzuri sana km atakua anapata muda wa kutoshaNadhani ni mapema sana kwa match mbili kujudge uwezo wa huyu mtu ila muda zaidi unahitajika kusema jambo kama hzi sifa ni stahiki au la.
Sent using Jamii Forums mobile app