Mateo Kovacic

Hziyech22

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2019
Posts
15,351
Reaction score
21,362
Chelsea walimsajili Mateo kovacic kwa paund mil 57 kutoka real Madrid na tokea wamchue amekuwa Moto zaidi.Ni kiungo ninamkubali Sana ana offer vitu vingi yupo vizuri defensively, ana rate kubwa ya pass accurate, ana dribbling ability yaani ni full package

Uchezaji wake unavutia Sana as if unaangalia uchi wa mwanadada mwenye mvuto Kim Kardashian anafanya mpira unamtii ana control game ya mchezo anaifanya iwe yake. Liverpool wanamjua vizuri walipokutana kwenye game na Chelsea ya super cup haliwafanya viungo wa Liverpool waheme muda wote wa mchezo na sifa nyingine anayo huyu player ni uwezo wa kutuliza mchezo ikiwa pleasure yakushambuliwa ipo kwao.

NB: kovacic ni kiungo asieimbwa pale Chelsea utasikia wanatajwa Abraham,mount na pulisic lakini yeye ni Mara chache kusikika ktk midomo ya watu ingawa shughuli anayofanya uwanjani ni kubwa sana.
 
Ribery au Robben?
Ahsante mkuu.

Enzi za kina Drogba, Essien, Cech, Lampard, Ribbery, n.k nilikuwa mshabiki sana wa The Blues, kwa sasa mzuka umepoa sijuu kwa nini..
 
Mmh, cheki vizuri mafaili yako juu ya Frank Ribbery......
Daahh, mafaili yalichanganyika aisee.

Huyu Franck Henry Piere Ribery, ni Mfaransa aliyewahi kucheza Serie A akiwa Fiorentina.

Aliyewahi kuchezea Chelsea ni Arjen Robben( Mholanzi ) kati ya 2004 - 2007 kabla ya kutimkia Real Madrid na sasa yupo Bayern Munich( kama bado hajatundika ndaluga )
 
RIBBERY YUPI AISEE??
.
 
Ahsante mkuu.

Enzi za kina Drogba, Essien, Cech, Lampard, Ribbery, n.k nilikuwa mshabiki sana wa The Blues, kwa sasa mzuka umepoa sijuu kwa nini..
Kwa sababu timu hakuna pale imebaki kuwa kama genge la vibaka waliovaa sare za bluu
 
Mbona anajina la Kichaga!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…