U Uweza90 New Member Joined Oct 10, 2016 Posts 1 Reaction score 1 Oct 11, 2016 #1 Habari wakuu naombeni msaada juu ya vitu vinavyotakiwa katika kuprint T-shirt pamoja na gharama ya kuvipata vifaa ,pamoja na changamoto zinazojitokeza kwa wale wazoefu WA hii biashara ,natanguliza shukrani zangu kwa wale mwanga WA mawazo yao .
Habari wakuu naombeni msaada juu ya vitu vinavyotakiwa katika kuprint T-shirt pamoja na gharama ya kuvipata vifaa ,pamoja na changamoto zinazojitokeza kwa wale wazoefu WA hii biashara ,natanguliza shukrani zangu kwa wale mwanga WA mawazo yao .
MIUNDOMBINU JF-Expert Member Joined Apr 14, 2010 Posts 465 Reaction score 96 Oct 13, 2016 #2 Mkuu . Material za kuprint T-Shirt ziko nyingi inategemea unatumia printer aina gani。Ila kwa kifupi utahitaji sublimation ink, Transfer paper nk。
Mkuu . Material za kuprint T-Shirt ziko nyingi inategemea unatumia printer aina gani。Ila kwa kifupi utahitaji sublimation ink, Transfer paper nk。
S shaurimbaya JF-Expert Member Joined Oct 3, 2013 Posts 1,915 Reaction score 2,329 Oct 14, 2016 #3 kwa maelekezo zaidi kuhusu tshirt na kupata mwanga wa mashine angalia hii link