Habari wakuu naombeni msaada juu ya vitu vinavyotakiwa katika kuprint T-shirt pamoja na gharama ya kuvipata vifaa ,pamoja na changamoto zinazojitokeza kwa wale wazoefu WA hii biashara ,natanguliza shukrani zangu kwa wale mwanga WA mawazo yao .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.