Kapigwa na fundi Maiko huyu.Mkuu mbona hiyo bei ya sementi yenye ratio ya 42.5 bei umeweka sana juu. Mm nimeinunua hata nusu yake sikulipia. May be ni sehem uliyopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hizi sio zile maalum kwa ajili ya madaraja,barabara etc.?Mkuu mbona hiyo bei ya sementi yenye ratio ya 42.5 bei umeweka sana juu. Mm nimeinunua hata nusu yake sikulipia. May be ni sehem uliyopo
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Samahani.,Sema tunaomba siyo tunataka.Mods tunataka jukwaa la ujenzi
Mods tunataka jukwaa la ujenzi
Mods tunataka jukwaa la ujenzi
Mods tunataka jukwaa la ujenzi
Mods tunataka jukwaa la ujenzi
Mods tunataka jukwaa la ujenzi
Mods tunataka jukwaa la ujenzi
Mods tunataka jukwaa la ujenzi
Mods tunataka jukwaa la ujenzi
Mods tunataka jukwaa la ujenzi
Mkuu Samahani.,Sema tunaomba siyo tunataka.
Lugha ya kiungwana .
Sure mkuu,inabid max alitazame hilojukwaa la ujenzi ni muhimu humu ndani hasa kwasisi tunaoanza harakati za ujenzi wa makazi, maana mafundi sio wa kuwategemea sana katika hili
Sent using Jamii Forums mobile app
Hv hyo cement kali zaid ni maalum kwa matumiz gan?plasta,matofal,au zege mkuu!?Kwenye Rangi,
CORAL na GOLDSTAR hizo ndo rangi Orijino.
Kwenye sement,
Hazitofautiani sana, kikubwa angalia uimara wa cement.
Kuna cement za resho ya 42.5 wanatoa makampuni yote
hizo ndo zinakuaga IMARA SANA NA BEI YAKE IMECHANGAMKA SANA.
(Mfuko unacheza kwny elfu 30- 35)
Pia Kuna cement za resho ya 32.5 wanatoa makampuni yote.
Hizo ndo siment zetu za watu wa kawaida zinazouzwa elfu 13- elfu 16
Kwa uzoefu wangu,
1.Dangote 32.5 iko POA Sana,
2.Twiga 32.5 nayo iko POA.
3. CAMEL 32.5 hii iko poa Sana na inashika HARAKA sana kuliko hizo za juu. japokua niliitumia mara 2 TU, wasiwasi wangu labda baadae waje waanze kuchakachua.
4. Simba 32.5- walikuaga zamani,skuhz wanatengeneza cement kwa mazoea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye Rangi,

Kwenye rangi sasa hivi ni Plusscon. The best. Robilac next, then Goldstar na mwisho Coral yenye bei nafuu.
Tiles, bila shaka ni Spanish tiles.
Kikubwa, the best zina bei kubwa. Angalia budget yako na uende accordingly.
42.5 mjini Bei Ni 14000
Upande wa mbao, wakuu hembu tuwekane sawa.
Mbao treated unazijuaje. Nimeweka mbao mshenz mmj aliniuzia untreated, kaniuza kwa kweli, nashukuru tu aliniuzia kwenye kibada kidogo Cha chapchap, japo sikutaka kufanya mzaha, kuna baadhi ya mbao kwenye kenchi zinapiga kelele. Kwa kuwa bati langu sio msauzi. Na Ni Gage ndogo huenda nikabadilisha hapo baadae. Nitapata nafasi kuondoa kenchi zenye mbao zilizoliwa,untreated.
Nashauri kuzingatia uimara, pigwa Bei kubwa kwa ajili ya kitu imara. Ikiwezekana nunua mbao uzitreated mwenyewe.
Wanauza bei gani kwa futi moja??!
Bei znabadilika kila mara, kwan wee uliinunua Bei gn mkuuDeepPond,
Mkuu mbona hiyo bei ya sementi yenye ratio ya 42.5 bei umeweka sana juu. Mm nimeinunua hata nusu yake sikulipia. May be ni sehem uliyopo
Sent using Jamii Forums mobile app