Material zipi za ujenzi ni bora kuliko nyingine?

Material zipi za ujenzi ni bora kuliko nyingine?

kovidii

JF-Expert Member
Joined
May 4, 2020
Posts
277
Reaction score
266
Wakuu, ukifuatilia matangazo yao inakuwa ngumu kujua ni simenti gani nzuri kati ya tembo, twiga, rhino, dangote, Simba, lucky etc.

Rangi pia, which is the best kat ya coral paints, sadolin, robbialac, aztec gold star ect.

Pia Kuna nondo za kiboko,Simba,lodhia ect.

Tiles zipi matata kati ya Spanish, Italian, India....japo kwenye mabat alaf ndo baba lao...tujadiliane!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye Rangi,
CORAL na GOLDSTAR hizo ndo rangi Orijino.

Kwenye sement,
Hazitofautiani sana, kikubwa angalia uimara wa cement.

Kuna cement za resho ya 42.5 wanatoa makampuni yote
hizo ndo zinakuaga IMARA SANA NA BEI YAKE IMECHANGAMKA SANA.
(Mfuko unacheza kwny elfu 30- 35)

Pia Kuna cement za resho ya 32.5 wanatoa makampuni yote.
Hizo ndo siment zetu za watu wa kawaida zinazouzwa elfu 13- elfu 16

Kwa uzoefu wangu,
1.Dangote 32.5 iko POA Sana,
2.Twiga 32.5 nayo iko POA.
3. CAMEL 32.5 hii iko poa Sana na inashika HARAKA sana kuliko hizo za juu. japokua niliitumia mara 2 TU, wasiwasi wangu labda baadae waje waanze kuchakachua.
4. Simba 32.5- walikuaga zamani,skuhz wanatengeneza cement kwa mazoea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye Nondo- LODHIA Hana mpinzani.

Kiboko alikua vizur zamani,
ila tangu alipoanza kushindana sokoni na wachina wa buguruni.
Kawa wa ovyo Sana, japokua kaleta Bei za ushindani ila products zake skuhz analipua Sana.
Kuanzia kwny Bati,rangi,Nondo n.k

Kwenye TILES, Spanish Yuko njema Sana na Bei imechangamka, hilo halina mjadala.

Kwenye gypsum na Masinki ya chooni Kuna Hawa wathailand wa ANDIKA- Wako POA Sana KIUKWELI.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye rangi sasa hivi ni Plusscon. The best. Robilac next, then Goldstar na mwisho Coral yenye bei nafuu.
Tiles, bila shaka ni Spanish tiles.

Kikubwa, the best zina bei kubwa. Angalia budget yako na uende accordingly.
 
42.5 mjini Bei Ni 14000

Upande wa mbao, wakuu hembu tuwekane sawa.

Mbao treated unazijuaje. Nimeweka mbao mshenz mmj aliniuzia untreated, kaniuza kwa kweli, nashukuru tu aliniuzia kwenye kibada kidogo Cha chapchap, japo sikutaka kufanya mzaha, kuna baadhi ya mbao kwenye kenchi zinapiga kelele. Kwa kuwa bati langu sio msauzi. Na Ni Gage ndogo huenda nikabadilisha hapo baadae. Nitapata nafasi kuondoa kenchi zenye mbao zilizoliwa,untreated.

Nashauri kuzingatia uimara, pigwa Bei kubwa kwa ajili ya kitu imara. Ikiwezekana nunua mbao uzitreated mwenyewe.
 
Mods tunataka jukwaa la ujenzi

Mods tunataka jukwaa la ujenzi

Mods tunataka jukwaa la ujenzi

Mods tunataka jukwaa la ujenzi

Mods tunataka jukwaa la ujenzi

Mods tunataka jukwaa la ujenzi

Mods tunataka jukwaa la ujenzi

Mods tunataka jukwaa la ujenzi

Mods tunataka jukwaa la ujenzi

Mods tunataka jukwaa la ujenzi
Mkuu Samahani.,Sema tunaomba siyo tunataka.
Lugha ya kiungwana .
 
Kwenye Rangi,
CORAL na GOLDSTAR hizo ndo rangi Orijino.

Kwenye sement,
Hazitofautiani sana, kikubwa angalia uimara wa cement.

Kuna cement za resho ya 42.5 wanatoa makampuni yote
hizo ndo zinakuaga IMARA SANA NA BEI YAKE IMECHANGAMKA SANA.
(Mfuko unacheza kwny elfu 30- 35)

Pia Kuna cement za resho ya 32.5 wanatoa makampuni yote.
Hizo ndo siment zetu za watu wa kawaida zinazouzwa elfu 13- elfu 16

Kwa uzoefu wangu,
1.Dangote 32.5 iko POA Sana,
2.Twiga 32.5 nayo iko POA.
3. CAMEL 32.5 hii iko poa Sana na inashika HARAKA sana kuliko hizo za juu. japokua niliitumia mara 2 TU, wasiwasi wangu labda baadae waje waanze kuchakachua.
4. Simba 32.5- walikuaga zamani,skuhz wanatengeneza cement kwa mazoea.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hv hyo cement kali zaid ni maalum kwa matumiz gan?plasta,matofal,au zege mkuu!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna cement inayouzwa 30000 kwa mfuko.
Tembelea duka lililo jirani yako
Kwenye Rangi,
CORAL na GOLDSTAR hizo ndo rangi Orijino.

Kwenye sement,
Hazitofautiani sana, kikubwa angalia uimara wa cement.

Kuna cement za resho ya 42.5 wanatoa makampuni yote
hizo ndo zinakuaga IMARA SANA NA BEI YAKE IMECHANGAMKA SANA.
(Mfuko unacheza kwny elfu 30- 35)

Pia Kuna cement za resho ya 32.5 wanatoa makampuni yote.
Hizo ndo siment zetu za watu wa kawaida zinazouzwa elfu 13- elfu 16

Kwa uzoefu wangu,
1.Dangote 32.5 iko POA Sana,
2.Twiga 32.5 nayo iko POA.
3. CAMEL 32.5 hii iko poa Sana na inashika HARAKA sana kuliko hizo za juu. japokua niliitumia mara 2 TU, wasiwasi wangu labda baadae waje waanze kuchakachua.
4. Simba 32.5- walikuaga zamani,skuhz wanatengeneza cement kwa mazoea.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama UKO Dar bora mbao ununue Saohill Mandela road
42.5 mjini Bei Ni 14000

Upande wa mbao, wakuu hembu tuwekane sawa.

Mbao treated unazijuaje. Nimeweka mbao mshenz mmj aliniuzia untreated, kaniuza kwa kweli, nashukuru tu aliniuzia kwenye kibada kidogo Cha chapchap, japo sikutaka kufanya mzaha, kuna baadhi ya mbao kwenye kenchi zinapiga kelele. Kwa kuwa bati langu sio msauzi. Na Ni Gage ndogo huenda nikabadilisha hapo baadae. Nitapata nafasi kuondoa kenchi zenye mbao zilizoliwa,untreated.

Nashauri kuzingatia uimara, pigwa Bei kubwa kwa ajili ya kitu imara. Ikiwezekana nunua mbao uzitreated mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwenye simenti ni bora tu ijenge kwa 42.5 kwani tofauti ni 1500 au 2000 na 32.5. Mimi ujenzi wangu wote natumia 42.5 kwa ajili ya uimara. Kwenye gypsum tumia ANDIKA wako vizuri na kwenye rangi jaribu kuwasiliana na wataalam ila kwangu naona PLASCON wako vizuri.

Tiles mspanish yuko vizuri ingawa hata hizi za China ukinunua grade nzuri zinapendeza na kukaa muda mrefu bila kuchoka. Mie nimeweka tiles mchina sakafu za ndani na sijawahi kujutia hata. Ingawa kwenye vyoo nilifunga za spain nilinunua Dar ceramic na walifungia kitaalam sana.

Bati pia zinatofautiana kuna zile zina chenga kama vigae za ALAF au DECRA zinavutia sana na imara. Kwenye finishing za vyoo nashauri uende duka moja liko Mtaa wa Samora la wamisri wana vitu imara sana na bei yao sio mbaya. Umeme funga tu TRONIC ila hakikisha ni original. Fan funga PANASONIC au USHA za wahindi hutojuta. Milango weka MNINGA ili ufe kabla yake maana inadumu vizazi na vizazi. Ila usipende kuweka vitu cheap kwenye ujenzi, Cheap ina-cost sana mwisho wa siku
 
Back
Top Bottom