Material zipi za ujenzi ni bora kuliko nyingine?

kuhusu
Tiles Dar ceramic walikufungia wenyewe?
 
kuhusu
Tiles Dar ceramic walikufungia wenyewe?
Walinipatia fundi nilimkuta pale anatengeneza sample ya choo. Nilielewana na fundi kivyangu na kumlipa ila nilimkuta pale ofisini kwao kule njia ya mbezi beach
 
Walinipatia fundi nilimkuta pale anatengeneza sample ya choo. Nilielewana na fundi kivyangu na kumlipa ila nilimkuta pale ofisini kwao kule njia ya mbezi beach
Nitampataje, na Ni sahihi sqmeter kwa 4000?
 
Mkuu naomba ramani ya hilo duka la wamisri,
 
Futi 1 sh 900.
Ambayo ni 2x4
Sent using Jamii Forums mobile app
 
si kama nawa haribia biashara, ila kwenye rangi tumia brand za plascon ( sadoline) locally hizi ni rangi zenye ubora, ila wauza rangi ni wajanja sana kwa kawaida huwa wanawapiga wateja kwa kuwaaaminisha na kuwauzia rangi coral kwa bei na quality ya sadolin (Plascon)
 
Mkuu umeongea jambo la msingi sana, kwakweli waangalie uwezekano wa kuweka jukwaa la ujenzi. Mafundi na wao wanachek maslahi yao wanakupiga sana ukiwategemea kwa kila kitu.
jukwaa la ujenzi ni muhimu humu ndani hasa kwasisi tunaoanza harakati za ujenzi wa makazi, maana mafundi sio wa kuwategemea sana katika hili

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nimepiga bati la msouth, tatizo langu mafundi waliniharibia kiasi kwamba kuna sehemu zinavuja jambo ambalo limesababisha nichelewe kufunga gypsum, maana niliambiwa gypsum haipatani na maji. Naomba kujua namna gani naweza kurekebisha hilo la kuvuja.....ila hawa mafundi wa dar ni shida sana. Mtu unatumia mamilioni ya pesa kununua material fundi anakuja kukuharibia haribia tu.....
 
hili nalo ni kosa kubwa ambalo wajenzi wengi tunalifanya, unanunua bati la msouth kwa mamilioni mengi tuu alafu unmpa fundi ujenzi apaue kwa gharama ndogo tuu ya laki kadhaa tuu alafu fundi mjenzi na yeye anakorobanya korobanya, mwisho wa siku paa linavuja,.....mkuu bado hujachelewa na imekuwa vizuri umeliona hili mapema tafuta mtaalam wa kupaua arekebishe japo itaku gharim
 
Nackia lami hua inasaidia,inachemshwa,then unachovya pamba unaziba(kwenye matundu ya misumar yalioachwa waz)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nini hasara nitakayoipata kwa kupaulia bati gauge 30 badala ya gauge 28?

Bati Ni Covermax kutoka ALAF.
 
Pole tumia Silicone sealant sehemu zinazovuja hii ndio kiboko



 
Nini hasara nitakayoipata kwa kupaulia bati gauge 30 badala ya gauge 28?

Bati Ni Covermax kutoka ALAF.
Kama ni ALAF na zina muhuri halisi wa ALAF ondoa mashaka kabisa, kikubwa epuka kuweka vitu vizito tu juu ya bati lako kama panel za Solar n.k
 
Poa mkuu, hivi inawezekana fundi kujua sehemu zinazovuja bila mvua kunyesha? ni wapi naweza kupata orijino maana siku hizi mafeki yamejaa madukani karibia kila material...
Ni vizuri ukasubiria mvua inyeshe kama matundu hayaonekani kwa naked eye, Silicone sealant hamna fake sokoni utokana na uhitaji wake nao siyo mkubwa sana. Kwa kifupi sijakutana nazo
 
Hapa sisi wadau wa ujenzi tunashauri kabla ya kununua material Fulani kwenye ujenzi jitahiti kufanya utafiti kidogo juu ya bidhaa husika kwenye ubora wake au kujua Bei halisi, tumia mafundi tofauti tofauti au kwa kupita kwa wauzaji kadhaa ili upate taarifa kamili juu ya bidhaa unayoihitaji, usipofanya hivyo jiandae kupigwa.

Kwenye upande wa mbao kuitambua mbao treated ni rahisi mno lakini wale majamaa wana mbinu nyingi kwa MTU asiyejua wanaweza kukupiga hata kwenye urefu,n.k

Kwa Bati Nzuri nipigie 0658339930
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…