Materials gani hutumika kutengeneza shanga?

Materials gani hutumika kutengeneza shanga?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Eti wakuu. Shanga huundwa na materials gani? Maana plastic si plastic.

1673195715360.jpeg
 
mawe, mifupa, magamba ya wanyama kama konokono, glasi, mbao, lulu, pembe za wanyama...vyote hivi ni malighafi ya shanga...
Usichanganye shanga na mkufu. Lulu inaweza tumika kutengeneza mkufu lakini sidhani kama mtu anaweza iponda kutoa shanga, itakuwa ni kuipotezea thamani.
 
Shanga za wapi mkuu? Za kiunoni kuna wanazotumia plastics na zingine ni chuma , na zinaitwa chachandu siyo shanga😀
Shanga zinaweza tumika kutengeneza chachandu, mikufu na urembo mbalimbali mwingine. na hizi zipo kabla hata ya plastic kugunduliwa.
 
Shanga ni muhimo kuliko huo mdororo. Zamani wafanyabiashara walitoka Baganoyo na shanga na kurudi na pembe za ndovu. Na njia nzima walikula kuku.
Kumbe walikula kuku mi nikafikr unasema walikula BATA [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usichanganye shanga na mkufu. Lulu inaweza tumika kutengeneza mkufu lakini sidhani kama mtu anaweza iponda kutoa shanga, itakuwa ni kuipotezea thamani.

Naona wewe ndio unamix kati ya shanga (bead) na mkufu (necklace) ...
 
Shanga za nini tena!! Hizi zilizopo mtaani zinatosha. Mkitengeneza nyingi, mtasababisha taharuki mtaani.
 
We zitumie tu, mradi zinakupa mzuka wa kudinya, we dinya tu, usije ukaambiwa zinatengemezwa kwa konokono ikawa tabu.

Ukimchunguza bata humli.. 😂
 
Back
Top Bottom