Materials gani hutumika kutengeneza shanga?

Materials gani hutumika kutengeneza shanga?

Naona wewe ndio unamix kati ya shanga (bead) na mkufu (necklace) ...
Lulu hutumika kutengeneza mikufu, tena ya gharama. Unaweza chukua lulu na kuigeuza iwe zile shanga ndogo zenye tundu?
 
Eti wakuu. Shanga huundwa na materials gani? Maana plastic si plastic.

View attachment 2473942
Unaweza kutumia vipande vya kioo, chupa ukiviyeyusha unapata uji then unaunda shanga au vitu vingine vya namna hiyo. Au kama wewe si mvivu unaweza ukauchemsha mchanga kwa kiwango kikubwa cha joto na kupata uji. Then kutokana na uji, huo unaweza tengeneza vitu vyenye maumbo mbalimbali kufuatana na mahitaji yako. Nadhani nimesaidia kidogo mkuu.
 
Back
Top Bottom