Unaweza kutumia vipande vya kioo, chupa ukiviyeyusha unapata uji then unaunda shanga au vitu vingine vya namna hiyo. Au kama wewe si mvivu unaweza ukauchemsha mchanga kwa kiwango kikubwa cha joto na kupata uji. Then kutokana na uji, huo unaweza tengeneza vitu vyenye maumbo mbalimbali kufuatana na mahitaji yako. Nadhani nimesaidia kidogo mkuu.