Materials za shule za sekondari katika internet

Materials za shule za sekondari katika internet

Kaa la Moto

JF-Expert Member
Joined
Apr 24, 2008
Posts
7,904
Reaction score
1,064
Wakuu,

Watu wengi wanafaidi kwa kupata materials ya masomo katika mitandao na inawasaidia kuwaongezea kitu katika elimu yao.
Nimejaribu kutafuta materials za masomo mbali mbali toka kwa walimu na watanzania wengine wanaotoa masomo yao katika mitandao kwa ajili ya sekondari sijafanikiwa.

Mwanangu amekuwa na uhitaji wa kujisomea katika mitandao masomo yake ya sekondari lakini nimeshindwa kumsaidia.

Mwenye kuelewa sites zinazoweza kumsaidia kupata masomo na vitabu kwa ajili ya masomo ya sekondari, yaani, Maths, Chemistry, Physics, Biology, English, History, Geography, Kiswahili, civics, Principles of accounts na commerce.

Najua mengi yanayopatikana ni kwa wanafunzi wa nje ya Tanzania. Je kwa walimu wa Kitanzania vipi tunaweza kupata pia?

Nitashukuru kwa atakaemsaidia.

MF
 
Back
Top Bottom