Maternity leave

Maternity leave

mwankuga

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2010
Posts
334
Reaction score
120
Pole na majukumu wakuu.Naomba ufafanuzi/maelezo kuhusu likizo ya uzazi.

Je,mwajiriwa mwanamke aliyejifungua ambaye hajatimiza miezi nane kazini tangu ajiriwe ana qualify kupata likizo ya uzazi?

Asanteni sana.
 
Ana qualify. Asiye qualify ni yule ambaye hajatimiza miaka 3 kutoka uzazi uliotangulia, au amefikisha watoto wanne tayari, akipata mtoto wa 5 haqualify kupata maternity leave.
 
Pole na majukumu wakuu.Naomba ufafanuzi/maelezo kuhusu likizo ya uzazi.

Je,mwajiliwa mwanamke aliyejifungua ambaye hajatimiza miezi nane kazini tangu ajiliwe ana qualify kupata likizo ya uzazi?

Asanteni sana.

Acheni kufanya ofisi za watu kuwa incubators
 
Pole na majukumu wakuu.Naomba ufafanuzi/maelezo kuhusu likizo ya uzazi.

Je,mwajiliwa mwanamke aliyejifungua ambaye hajatimiza miezi nane kazini tangu ajiliwe ana qualify kupata likizo ya uzazi?

Asanteni sana.

Ana sifa
 
Ana qualify. Asiye qualify ni yule ambaye hajatimiza miaka 3 kutoka uzazi uliotangulia, au amefikisha watoto wanne tayari, akipata mtoto wa 5 haqualify kupata maternity leave.
Hata wa namna hii ana qualify isipokuwa inakuwa sio paid maternity leave Kwa maneno mengine anapewa ruhusa lakini halipwi mshahara Kwa kipindi atakachokuwa likizo ya uzazi
 
Back
Top Bottom