Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole na majukumu wakuu.Naomba ufafanuzi/maelezo kuhusu likizo ya uzazi.
Je,mwajiliwa mwanamke aliyejifungua ambaye hajatimiza miezi nane kazini tangu ajiliwe ana qualify kupata likizo ya uzazi?
Asanteni sana.

Hivi huwezi kupita bila kujibu.Kuwa mstaarabu
Hata wa namna hii ana qualify isipokuwa inakuwa sio paid maternity leave Kwa maneno mengine anapewa ruhusa lakini halipwi mshahara Kwa kipindi atakachokuwa likizo ya uzaziAna qualify. Asiye qualify ni yule ambaye hajatimiza miaka 3 kutoka uzazi uliotangulia, au amefikisha watoto wanne tayari, akipata mtoto wa 5 haqualify kupata maternity leave.