Mateso anayonipa jini mahaba

Mateso anayonipa jini mahaba

Oyaaa Nani huyo 🤣

Nipe handle
Soma

 
Oyaaa Nani huyo 🤣

Nipe handle
Soma

ego-man-in-mirror-153949753.jpg
 
usiku ukilala ndoto nyingi unaota unafanya mapenzi ukitafta demu anaweza kukuchukia tu baada ya mda mfupi au ukihiitaki kuwa nae pesa kwako inakuwa changamoto na ukitoka nae nguvu za kiume zinapungua mambo ya kiuchumi kwako yanayumba pesa haikaliki kuchukukiwa bila sababu kwa mwanaume baadhi nasikia yanawafanya wapende ushoga na wanawake wanaishia kusagana aisee hayo madude ombi yasikikute Kuna mda unaweza kutamani hata kujiua fikiria huna mwanamke Wala mtt lkn una madeni ambayo hayaishi na ukiangalia huna Cha maana una miliki pia Huwa yanafanya mtu udharaulike yaani unaweza kwenda sehem ukaona kabsa huyu jamaa au hawajamaa wameshanitoa point 3 Kwa kukuangalia tu...nimehangaika sana kuhusu hii issue.
Cc Herbalist Dr MziziMkavu
 
Oyaaa Nani huyo 🤣

Nipe handle
Ukitembea especially usiku ukiwa kwenye mwanga na giza la kutosha unakua na vivuli vinne plus wewe mwenyewe wa tano sasa vile vivuli vinne vinavyokuzunguka wengine wanaona vivuli vitatu wengine viwili ila wengine wanaona vivuli vinne vinawazunguka wanatembea navyo

Soma

 
Usafi wako wa kiroho ndio salama yako,kinyume cha hapo atakusumbua sana...
 
Usafi wako wa kiroho ndio salama yako,kinyume cha hapo atakusumbua sana...
Soma

 
Soma

Hakuna njia nyepesi ninayoijua zaidi ya kuishi maisha yenye usafi sana wa kiroho,kaa mbali na dhambi na uwe mtu wa maombi na toba...
 
Back
Top Bottom