Mateso haya mpaka lini?

Dhaaa!! Pole sana mkuu
Mungu akutangulie upone
 
Pole xana kijana. Kuna daktar wa magonjwa yote hata yaliyoshindika. Naye ni YESU KRISTO.Mtumainie yeye ktk kila jambo hakika utaona ukuu wake.
dah! Kazi kweli kweli. Kijana we angalia hao specialist watakusaidia. Inafaa waafrika tuamke. Sababu kubwa ya kupewa yesu na muhammad ni kuwa wakati tupo busy na mashairi yao wazungu na waarabu wanachukua Mali zetu. Issue hizo zishapitwa na wakati na sasa wanatupokonya kwa style nyengine. Hivi tutaamka lini kujua kua hizo ni namba za kitapeli tuu
 
Yeah! Asante mkuu ni kweli mda mwingine nasikia sauti ya kengere mda mwingine nasikia kama napigiwa honi namuungurumo usioisha siku zote,nitakutafuta
 
Mkuu mtafute mtumishi wa Mungu mwenye nguvu, na uwe na imani.
 
Ok! Asante nitajitahidi kumtafuta,then nitakutafta pm kwa maekezo zaidi
 
Wapi mlipo ndg niwatembelee?

DR IRUNGU .W. NDIRANGU
Upperhill Medical Centre, 5th Floor Ralph Bunche Rd.
Postal Address: P.O Box 67635, Nairobi 00200.
Telephone: 0735-400095, 0721-406654
 
Dah hizi case ni very complicated kwa apa Bongo....Mie Nina mtoto wa Dadaangu alizaliwa mzima kabisa alipofika darasa LA saba akaanza hali Fulani km yakutosikia vizuri mpaka anamaliza kidato cha NNE akawa hasikii kabisa kuongea nae mpaka akutazame kwenye lips ndo atakuelewa....Matibabu wameangaika nae sana hadi vifaa vya masikio alipewa lakini havikusaidia kitu....Hivi sasa yupo chuo na ana perform vizuri tu ila ndo kawa kiziwi kabisaaaaa...Ajabu ana mdogo wake yupo chuo nae alianza dalili za kutosikia akiwa O'level japo yeye angalau anasikia kwa mbali ila akikupa kisogo hasikii....Ajabu ni kua wote wamezaliwa wakiwa wazima kabisa na wanaongea japo [HASHTAG]#Tone[/HASHTAG] yao imebadirika kwakiasi Fulani...
 
Mkuu mleta mada hapo juu AMEPONA TAYARI nlimuelekeza aende kwa mtumishi wa Mungu na alipokwenda Jumapili hii amepona kabisa. hata wewe hao watoto wanaweza kupona kwa Uweza wa Mungu.
 
Mkuu mleta mada hapo juu AMEPONA TAYARI nlimuelekeza aende kwa mtumishi wa Mungu na alipokwenda Jumapili hii amepona kabisa. hata wewe hao watoto wanaweza kupona kwa Uweza wa Mungu.
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
 
Duh...kuna siku nilishinda Bugando kuanzia saa 12 asbh nikaja kuonana na Huyo dokta Bunane saa 12 jion.....yaan kuniangalia tu kwa macho na maelezo yangu simple tu akanijibu nina allergy yaan niliaa nae dak 5 tu....nioichoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…