Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Yetu macho tuGuantanamo Mbweni?
Shetani hana rafiki, zamu yako yajamagaidi hayo bila kuyafinya unafikiri yangesema ukweli mpaka kumtaja mbowe na alivyowatelekeza wakaamua kumwaga ukweli wacha waozee jela na mbowe mwenyewe jela tuu
Hivi sheria zingefuatwa unadhani tungeandika haya ? hivi mateso ya kinyama namna hii ili kutengeneza uongo maana yake nini ?Mnahangaika nini kutafuta huruma kwa wananchi? acha mahakama ifanye kazi yake, mnajitekenya na kucheka wenyewe..mnafurahisha sana.
Nyie marafiki na magaidi inamaana na nyinyi ni magaidi wangefanikiwa huo ugaidi wao leo ungeongea hicho kinyesi chako unachoharisha hapa? kaa kimya wacha wale walichokuwa wanapanda washenzi tu haoShetani hana rafiki , zamu yako yaja
Mkuu una akili timamu? Ni bora nijiridhishe kuhusu akili yako kwanza kabla sijakushushia nyundoPicha za makovu ya watuhumiwa au picha ya makovu ya mtuhumiwa? Afu picha hii umeileta leo baada ya mawakili wenu kuulizwa sababu ya kumpa Mbowe maji peke yake kila siku, huku mkiwatelekeza wenzake aliokamatwa nao. Unafiki ni kitu kibaya sana hapa dunia na ndio maana Mungu anaamua kushusha viboko vyake kwa njia hii tunayoiona mahakamani.
Hahahaaa wacha wanyooooshwe tu Mbowe lazima ale miakaPicha za makovu ya watuhumiwa au picha ya makovu ya mtuhumiwa? Afu picha hii umeileta leo baada ya mawakili wenu kuulizwa sababu ya kumpa Mbowe maji peke yake kila siku, huku mkiwatelekeza wenzake aliokamatwa nao. Unafiki ni kitu kibaya sana hapa dunia na ndio maana Mungu anaamua kushusha viboko vyake kwa njia hii tunayoiona mahakamani.
Hakuna kitu kama hicho, weka mezani ushahidi wa hayo mateso, unataka kutueleza hapa wote wenye makovu wameteswa na polisi? kwa nature ya ilokuwa kazi yao wanakisa vipi makovu?Hivi sheria zingefuatwa unadhani tungeandika haya ? hivi mateso ya kinyama namna hii ili kutengeneza uongo maana yake nini ?
Ugaidi wa kukata miti na kuiweka barabarani kuanzia morogoro hadi Mbeya ?nyie marafiki na magaidi inamaana na nyinyi ni magaidi wangefanikiwa huo ugaidi wao leo ungeongea hicho kinyesi chako unachoharisha hapa? kaa kimya wacha wale walichokuwa wanapanda washenzi tu hao
Upelelezi wa polisi nchi ni kukupiga mpaka ukiri makosa ambayo hukufanya
Nyundo ushushe wewe uliyekimbia milembe? unashabikia ugaidi unaakili timamu wewe?Mkuu una akili timamu ? ni bora nijiridhishe kuhusu akili yako kwanza kabla sijakushushia nyundo
Ufungwe wewe, shetwani mkubwamagaidi hayo bila kuyafinya unafikiri yangesema ukweli mpaka kumtaja mbowe na alivyowatelekeza wakaamua kumwaga ukweli wacha waozee jela na mbowe mwenyewe jela tuu
akili yako ndipo ilipoishia ndiyo maana ungeacha wanaume waongee wewe kampikie mumewako chakula baadae akupindue akunyandueugaidi wa kukata miti na kuiweka barabarani kuanzia morogoro hadi Mbeya ?
mi niko huru na ugaidi sifanyiUfungwe wewe, shetwani mkubwa
Ungekuwa uongo wangesema ukweli hao? Kibano kimewakolea mapaka wakamtaja bwana wao aliyekuwa anawatumaHivi sheria zingefuatwa unadhani tungeandika haya ? hivi mateso ya kinyama namna hii ili kutengeneza uongo maana yake nini ?