Mateso makubwa waliyoyapata watuhumiwa wa Ugaidi walioshitakiwa pamoja na Mbowe yanatisha, Inashangaza wamewezaje kuwa hai hadi sasa

akili yako ndipo ilipoishia ndiyo maana ungeacha wanaume waongee wewe kampikie mumewako chakula baadae akupindue akunyandue
Wanafurahisha sana hawa watu, kama wanaonewa wanaogopa nini na kesi iko mahakamani? kwa nini wanatumia nguvu kubwa sana kuaminisha umma kwamba watu wao wanaonewa? waache mahakama ifanye kazi yake.
 
Wanafurahisha sana hawa watu, kama wanaonewa wanaogopa nini na kesi iko mahakamani? kwa nini wanatumia nguvu kubwa sana kuaminisha umma kwamba watu wao wanaonewa? waache mahakama ifanye kazi yake.
Mara nyingi mtu mhalifu hutumia nguvu nyingi kuuonyesha uma kuwa hana kosa wacha mahakama ihukumu ndipo watakuja kushangaa kuwa kumbe mbowe alikuwa gaidi kweli
 
Tanzania tumefikia hatua ya unyama huu wote kisa Katiba mpya na kuhodhi madaraka ya nchi mambo ambayo ni haki ya wananchi kuyadai

Jamaa hawa wamepitia kwenye bonde la mauiti aisee.
 
magaidi hayo bila kuyafinya unafikiri yangesema ukweli mpaka kumtaja mbowe na alivyowatelekeza wakaamua kumwaga ukweli wacha waozee jela na mbowe mwenyewe jela tuu
Kuna watu hapa Tanzania wameanza kujitokeza kama vile hawakuzaliwa. Hata ungekuwa ni mwanajeshi huruhusiwi kumtesa mateka!
 
Reactions: BAK
Thank God,ni watu waliopitia mafunzo magumu ya ukomandoo,ingekuwa raia wa kawaida,wameishakufa tayari.
Kuna wale waliomuua mfanyabiashara wa madini Arusha,Msuya,Mmoja aliteswa mpaka akapoteza nguvu za kiume,ikabidi amruhusu mkewe aende akaolewe kwingine.
 
Tanzania tumefikia hatua ya unyama huu wote kisa Katiba mpya na kuhodhi madaraka ya nchi mambo ambayo ni haki ya wananchi kuyadai

Jamaa wamepitia kwenye bonde la mauiti aisee.
yaani kudai katiba ndiyo waachwe wahalifu kama hawa uraiani kweli?hata ingekuja hiyo katiba wangetenda ugaidi tu hawafai wanyongwe
 
Acha uongo na uzushi unachukua picha za watu wengine unaleta hapa, isitoshe hata gwantanano hakuna alipita bila kubinywa bado mbowe abinywe Sana tu USSR
 
Tanzania tumefikia hatua ya unyama huu wote kisa Katiba mpya na kuhodhi madaraka ya nchi mambo ambayo ni haki ya wananchi kuyadai

Jamaa wamepitia kwenye bonde la mauiti aisee.
Taarifa zinaonyesha kwamba msimamizi wa unyama wote huu ni Ramadhan Kingai
 
Uzi umeuandika kwa hisia zaidi kuliko uhalisia.

Tunaomba picha za magaidi kabla ya kukamatwa. Usisahau utuwekee na makovu ya mshtakiwa namba nne alipotenguliwa na nguvu za KVant kule nyumba ya wageni.
 
Hakuna urais wa Bure katika nchi iwayo,chadema mnapenda Sana huruma ya jamii,mwambieni na yule basha kuwa 2025 ataaibika zaidi.
 
ugaidi wa kukata miti na kuiweka barabarani kuanzia morogoro hadi Mbeya ?
Unavyoiongelea hii kesi kama vile una utaalam wa masuala ya usalama.

Unakumbuka Komandoo Tamimu alitumia silaha gani kupambana na risasi za akina Mabere Nyaucho?

Iache mahakama ifanye kazi yake, mnapambana kuishinikiza iwe upande wenu.
 
Wewe siyo hakimu mbona watoa hukum?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…