Mateso makubwa waliyoyapata watuhumiwa wa Ugaidi walioshitakiwa pamoja na Mbowe yanatisha, Inashangaza wamewezaje kuwa hai hadi sasa

nyie marafiki na magaidi inamaana na nyinyi ni magaidi wangefanikiwa huo ugaidi wao leo ungeongea hicho kinyesi chako unachoharisha hapa? kaa kimya wacha wale walichokuwa wanapanda washenzi tu hao
Amesahau mabomu ya CHADEMA ya olasiti huyu kiazi

USSR
 
Hakuna kitu kama hicho, weka mezani ushahidi wa hayo mateso, unataka kutueleza hapa wote wenye makovu wameteswa na polisi? kwa nature ya ilokuwa kazi yao wanakisa vipi makovu?
Kapuuzi haka kana fikiri kila mtu ni mwehu kama yeye

USSR
 
Acha uongo na uzushi unachukua picha za watu wengine unaleta hapa, isitoshe hata gwantanano hakuna alipita bila kubinywa bado mbowe abinywe Sana tu USSR
sasa unachobisha ni kipi ?
 
magaidi hayo bila kuyafinya unafikiri yangesema ukweli mpaka kumtaja mbowe na alivyowatelekeza wakaamua kumwaga ukweli wacha waozee jela na mbowe mwenyewe jela tuu
Mbona sentensi yako inajipinga yenyewe?

yaani unasema kuwa wamefinywa hadi wakatoa siri, alafu hapo hapo unasema walitelekezwa na mbowe ndio wakaamua kutoa siri.
 
Tanzania tumefikia hatua ya unyama huu wote kisa Katiba mpya na kuhodhi madaraka ya nchi mambo ambayo ni haki ya wananchi kuyadai

Jamaa wamepitia kwenye bonde la mauiti aisee.
Yule mlinzi wa slaa mbowe na genge lake la akina Jacob walifanya nini?

USSR
 
Kusema kwamba haya hayajawahi kuwepo Tanzania hapo kabla, inawezekana huijui vizuri Tanzania au kuna jambo unataka kulisema kwa chuki tu.
All in all, unyama huu haukubaliki japokuwa US ambayo ndiyo inapigiwa mfano wa kulinda haki za binadamu wanayafanya haya na zaidi ya haya kule Gitmo
 
Ndio ukiuwa kwa panga unauwa kwa panga


USSR
 
magaidi hayo bila kuyafinya unafikiri yangesema ukweli mpaka kumtaja mbowe na alivyowatelekeza wakaamua kumwaga ukweli wacha waozee jela na mbowe mwenyewe jela tuu
Kusema kweli kila tarehe 17 ya mwezi huwa nakunywa wine na nyama choma nikikumbuka mambo makubwa makuu aliyotutendea mungu.

Ile kenge ni kuni ya kuchoma wahalifu wenzake huko iliko.
 
Wanaotakiwa wawape maji ni waliowabambikia kesi. Muwabambikie kesi kisha mtake wengine wawape maji?
 
Na hapa kama ilivyo ada tunakumbushana, ukitaka kujiunga na jeshi lazima ukaguliwe waone una alama, makovu-asili, tattoo, ulemavu n.k

Itoshe kusema mamlaka za jeshi waliowaandikisha jeshini makomandoo hawa, wanaweza kutakiwa kufika mahakamani ili kuthibitisha walipowakagua kabla ya kukubaliwa kujiunga na jeshi kisha kupelekwa kozi maalum za makomandoo, kama matabibu wa jeshi wanakumbukumbu gani za afya na kama walipata kuziona alama hizi, makovu, majeraha, kuvunjika n.k au la.

Kesi hii inazidi kuvutia shauku za wananchi ili kujua ukweli wa tuhuma wanazokabiliwa nazo washtakiwa hawa 4 ktk kesi hii ya ugaidi.

Toka maktaba :
MH TEMBA ASIMULIA ALIVYOFUKUZWA JESHINI KISA TATTOO
 
Halafu yanakuja mapunguani yanatetea uhayawani wa mwendazake na mapoliccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…