digba sowey
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 8,926
- 17,880
Zaburi 39:4-6Hata Meko Mlisema mitano tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nazani unakumbuka much 17 nini kilitokea,
Una haki ya kufurahia Mateso yao lakini kumbuka hapa ni Duniani hujafa hujaumbika kama sio wewe hata Kizazi chako kitakuja Onewa kama hao Jamaa MUNGU Siku zote Malipo yake ni hapa hapa dunianimagaidi hayo bila kuyafinya unafikiri yangesema ukweli mpaka kumtaja mbowe na alivyowatelekeza wakaamua kumwaga ukweli wacha waozee jela na mbowe mwenyewe jela tuu
Wewe mtu ni tatizo! Ulianza kama reporter wa Mbowe, sasa haonekani mitaani umekuwa reporter wa mahabusu. Kama ni mateso, siyo nchi hii tu! Siyo hawa tu! na wewe fahamu siku ukikamatwa, hata iwe Vatican City, hiyo ndo njia ya ku-extract information.Baadhi ya Picha za makovu ya watuhumiwa wa Ugaidi wanaoshitakiwa pamoja na Mbowe zimeanza kuonekana hadharani , hawa watu waliteswa kinyama ! Hii nchi haikuwahi kufikia unyama kama huu , tena kwa tuhuma za uzushi zilizojaa uongo mtupu ! kisa ni Kumkomoa Mbowe , Inasikitisha sana !
Tunaomba radhi kwamba hatutaweza kuwaonyesha picha za majeraha yote , kutokana na Maadili ya Kitanzania kwa vile majeraha mengine yako maeneo yasiyoruhusiwa kuwekwa hadharani , bali itoshe tu kusema kwamba KILA ALIYEHUSIKA NA UNYAMA HUU AWE HAI AU AMEKUFA ATALIPA .
View attachment 1946196
Zaburi 39:4-6
“Ee Mwenyezi-Mungu, unijulishe mwisho wangu, siku zangu za kuishi zimenibakia ngapi, nijue yapitavyo kasi maisha yangu!” Kumbe umenipimia maisha mafupi sana! Maisha yangu si kitu mbele yako. Hakika, kila binadamu ni kama pumzi tu! Kweli, kila mtu anapita kama kivuli; jitihada zake zote ni bure tu; anakusanya mali, asijue atakayeipata!
Kifo kipo hata wee utakufa muda ukifika,Ni ajabu kuni iliyo pembeni kuicheka kuni iliyo motoni!
Hujafa hujaumbika, unachokifurahia kwa mwingine nawe kinaweza kukupata,kwa sababu zote zile usizozijuamagaidi hayo bila kuyafinya unafikiri yangesema ukweli mpaka kumtaja mbowe na alivyowatelekeza wakaamua kumwaga ukweli wacha waozee jela na mbowe mwenyewe jela tuu
Wewe Ni mpumbavu sana usiye na akili. Unalopoka Gaidi. Gaidi unamjua.hipo siku maana naona mnapenda sana ugaigi. Wakati Ukifika hakuna mtu mtamwambia fulani gaidi Bali watajipambanua matendo wakati tunaokota maiti.nyie marafiki na magaidi inamaana na nyinyi ni magaidi wangefanikiwa huo ugaidi wao leo ungeongea hicho kinyesi chako unachoharisha hapa? kaa kimya wacha wale walichokuwa wanapanda washenzi tu hao
Hivi nyie Uvccm uwa mnatoka kwenye familiaUzi umeuandika kwa hisia zaidi kuliko uhalisia.
Tunaomba picha za magaidi kabla ya kukamatwa. Usisahau utuwekee na makovu ya mshtakiwa namba nne alipotenguliwa na nguvu za KVant kule nyumba ya wageni.
Picha za makovu ya watuhumiwa au picha ya makovu ya mtuhumiwa? Afu picha hii umeileta leo baada ya mawakili wenu kuulizwa sababu ya kumpa Mbowe maji peke yake kila siku, huku mkiwatelekeza wenzake aliokamatwa nao. Unafiki ni kitu kibaya sana hapa dunia na ndio maana Mungu anaamua kushusha viboko vyake kwa njia hii tunayoiona mahakamani.
nyundo ushushe wewe uliyekimbia milembe? unashabikia ugaidi unaakili timamu wewe?
finya mama yakomagaidi hayo bila kuyafinya unafikiri yangesema ukweli mpaka kumtaja mbowe na alivyowatelekeza wakaamua kumwaga ukweli wacha waozee jela na mbowe mwenyewe jela tuu
Amen.
Chuki ipi mkuu na wakati waliulizwa mawakili wa Mbowe wakashindwa kujibu!Hivi sheria za magereza zinawaruhusu hawa kumpa maji? Je sio magereza wenyewe ndio wanaompa? Ukiondoa hii chuki yako, je maji ni kitu cha kumnyima mtu kweli? Inakigharimu shilingi ngapi!
Awamu iliyopita imewafundisha kuwa makatili kuzidi hata wanyama pori, halafu hamlipwi chochote pimbi nyie... Mbaya zaidi hukumu ya haki kwa muumba wetu iko pale pale...Hakuna kitu kama hicho, weka mezani ushahidi wa hayo mateso, unataka kutueleza hapa wote wenye makovu wameteswa na polisi? kwa nature ya ilokuwa kazi yao wanakisa vipi makovu?
Unamjua anaepaswa kuwapa maji na chakula watuhumiwa wanapokuwa mahakamani? nadhani hujui ndio maana umabwatuka jukumu Hilo Ni la jeshi la magereza kwa taarifa yako.Picha za makovu ya watuhumiwa au picha ya makovu ya mtuhumiwa? Afu picha hii umeileta leo baada ya mawakili wenu kuulizwa sababu ya kumpa Mbowe maji peke yake kila siku, huku mkiwatelekeza wenzake aliokamatwa nao. Unafiki ni kitu kibaya sana hapa dunia na ndio maana Mungu anaamua kushusha viboko vyake kwa njia hii tunayoiona mahakamani.
Hakuna binadamu anayeoza akiwa hajafa. Yule mzee katili naye alidhani atafanya watu waozee jela matokeo yake yeye ndiye anayeozea kaburini. Imabaki tu akina Mange kwenda kucheza juu ya kaburi lake.magaidi hayo bila kuyafinya unafikiri yangesema ukweli mpaka kumtaja mbowe na alivyowatelekeza wakaamua kumwaga ukweli wacha waozee jela na mbowe mwenyewe jela tuu
Mbowe akila miaka ww unafaidika nini....hahahaaa wacha wanyooooshwe tu mbowe lazima ale miaka
Hawa unaojibizana nao hapa, inaonekana hawa watu siyo wa kawaida sana hawa. Wanafurahia sana waTanzania wenzao kuumizwa?ugaidi wa kukata miti na kuiweka barabarani kuanzia morogoro hadi Mbeya ?