Fazz
JF-Expert Member
- Mar 14, 2019
- 578
- 1,241
Mambo vipi wakuuu
Uzi huu ni maalum kwa wale amboa tushaio ja chungu ya wanajeshi aka baka baka...Wale watu kiukwel sizani kama wana mioyo
Nakumbuka Morogoro kwenye kambi ya mzinga wale wanajesh wa pale n firee nilijichanaganya badala ya kupita kwenye geti la watembea kwa miguu nikapita geti la pikipik..Ile cku ilikua mbYa sana kwangu
Kwanza wakaniita nikjifanya sisikii jamaa akaja akanishika liroba hilo akawa ananivut kama mlev...Ile siku nilikula pushap mpak nikajihic nimeta six part [emoji23][emoji23] hawa jamaa waliviringisha kweny dongo jekundu mpak nikaw sijitaman kwa kwel nilipat tabuuu sanaa...
Hebu tupeane visa visa vya hawa jamaa nawasilisha
Sent using Jamii Forums mobile app