MATESO PINDI UKAMATWAPO NA WAJEDA

MATESO PINDI UKAMATWAPO NA WAJEDA

Fazz

JF-Expert Member
Joined
Mar 14, 2019
Posts
578
Reaction score
1,241
Mambo vipi wakuuu
Uzi huu ni maalum kwa wale amboa tushaio ja chungu ya wanajeshi aka baka baka...Wale watu kiukwel sizani kama wana mioyo
Nakumbuka Morogoro kwenye kambi ya mzinga wale wanajesh wa pale n firee nilijichanaganya badala ya kupita kwenye geti la watembea kwa miguu nikapita geti la pikipik..Ile cku ilikua mbYa sana kwangu
Kwanza wakaniita nikjifanya sisikii jamaa akaja akanishika liroba hilo akawa ananivut kama mlev...Ile siku nilikula pushap mpak nikajihic nimeta six part [emoji23][emoji23] hawa jamaa waliviringisha kweny dongo jekundu mpak nikaw sijitaman kwa kwel nilipat tabuuu sanaa...

Hebu tupeane visa visa vya hawa jamaa nawasilisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa nasimamia kazi ya viraka barabarani tabata bima.
Kwenye ku mark sehem zilizoharibika,tukawa tumefunga njia upande mmoja.mbele kuna kilima cha tabata relini sikuwa naona gari zao,jamaa wa kwanza wakaja na mark x wakanyoosha mkono nikaona gwanda nikawaruhusu.
Nikasogeza corn kdg zipite zote.
Ilipikuja yapili wakashuka jamaa na marungu wamevaa jezi za man u nyeupe na nyekundu.
Nikala kichapo cha kutosha wakatupa corn kwenye mtaro.
Wakapanda kwenye gar safar. Nyuma yao nikaona gar zinaenda msiban za jeshi daah.
Wakaniambia mdogo wangu watakuua. Nilichukia sana wananchi wakaja kuniinua pale na kunipa pole.

[emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13][emoji13]
Pole mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa nasimamia kazi ya viraka barabarani tabata bima.
Kwenye ku mark sehem zilizoharibika,tukawa tumefunga njia upande mmoja.mbele kuna kilima cha tabata relini sikuwa naona gari zao,jamaa wa kwanza wakaja na mark x wakanyoosha mkono nikaona gwanda nikawaruhusu.
Nikasogeza corn kdg zipite zote.
Ilipikuja yapili wakashuka jamaa na marungu wamevaa jezi za man u nyeupe na nyekundu.
Nikala kichapo cha kutosha wakatupa corn kwenye mtaro.
Wakapanda kwenye gar safar. Nyuma yao nikaona gar zinaenda msiban za jeshi daah.
Wakaniambia mdogo wangu watakuua. Nilichukia sana wananchi wakaja kuniinua pale na kunipa pole.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi hawa hawashitakiwi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana mkuu hawa watu sio poaaa

Back
Top Bottom