Mateso wanayopata Waafrika Uarabuni hasa nchi za Saudi Arabia na Oman

Kwani hujui kuwa Makka na Madina zipo Saudi Arabia na Mtume Muhammad (S.A.W) kazaliwa huko?

Wabillah Tawfiq,
Sio kila muarabu ni muislam.na kuea muarabu SIO TIKETI YA KUFANYA MADHAMBI au kunyanyasa mtu.
USICHANGANYE UISLAM NA UARABU au matendo ya waarabu ukayanasibisha na UISLAM .ni sawa na yesu alikuwa myahudi lakini hauwezi kumuhukumu yesu kwa matendo ya ndugu zake au ukahuukumu ukristo kwa matendo ya wauumini wake
 
Mbaya sana hii sijui kama alipona huyu hiki kipigo kililenga kuua sio kurekebisha sijui aliwakosea nini masikini loh
 
Karne hii unaendaje kuwa mtumishi wa ndani uarabuni.mambo mengine ni kujitakia tu mapori yapo kibao hapa.ni uvivu tu na kutafuta short cut kwenye maisha.wacha wasulubiwe.
 
Mwarabu ni jamii katili sana hata hapa kwetu pamoja ni TZ lakini bado wananyanyasa sana watumishi ni bora kufanya kazi kwa Mhindi kuliko hiyo damu chafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…