Mateso wanayopata Waafrika Uarabuni hasa nchi za Saudi Arabia na Oman

Mateso wanayopata Waafrika Uarabuni hasa nchi za Saudi Arabia na Oman

Biashara ya utumwa na uislam vina uhusiano itakuwa. Kwasababu umejaribu kutetea lakini hao mawakala ni waarabu pia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo waislam ndo walikuwa wanafanya biashara ya utumwa peke yao dunia nzima!

NB:
Siwatetei waarabu kwa unyama wanaotufanyia waafrika tena nawachukia mno.....ila mambo ya kiimani sidhani kama yanaingiliana hapa ila nachojua mtu akiwa na tabia mbaya au roho mbaya haiwezi kuhusiana na imani yake
 
Kwahiyo waislam ndo walikuwa wanafanya biashara ya utumwa peke yao dunia nzima!

NB:
Siwatetei waarabu kwa unyama wanaotufanyia waafrika tena nawachukia mno.....ila mambo ya kiimani sidhani kama yanaingiliana hapa ila nachojua mtu akiwa na tabia mbaya au roho mbaya haiwezi kuhusiana na imani yake
Ni kweli

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Usiwaseme vibaya wa arabu, waafrika wanateswa hata hapo South Afrika tena wanateswa na kuuliwa na Waafrika weusi wenzao! Tuache unafiki, ubaguzi upo sehemu zote, ngozi nyeusi inateswa popote pale

Ila ikiteswa na ngozi nyeupe inakuwa nongwa kwelikweli. Waafrika wanaouliwa sasa HV huko Afrika kusini,kwa sababu wanaofanya mauaji hayo ni Waafrika weusi,sijasikia mwanasiasa yoyote mweusi wa SA, akipiga kelele, kwa sababu wanajua kinachopelekea hayo, hari ya mbaya ya kiuchumi ya wa Afrika kusini weusi,ni vita ya kugombea rasilimali ajira lakini mauaji hayo yangefanywa na weupe, kelele zingekuwa nyingi sana.

Black American akimuua Black american ni sawa,hutasikia kelele,lakini Black american akiuliwa na Mweupe,kelele na maandamano kibao,ukweli mchungu ni kwamba,Black Americans wanauliwa sana na wenzao weusi kuriko weupe.


Sent using Jamii Forums mobile app
Are you a Whiteman?
 
Ndo maana nikasema sisi mnatuona kama waungu wenu
Waungu gani kwani Zanzibar inaizidi nini Tanganyika. Kuanzia rasimali mpaka ardhi, idadi ya watu, mnaendeleo, viwanda. Kwanza hata umeme mnategemea utoke Bara mpaka visiwani. Ninyi ndio wategemezi. We unafikiri Sisi tunategemea nini Zanzibar. Niny ndio mnaongoza kuitaja bara . O bara wanatunyonya . Mnanyonywa nini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waungu gani kwani Zanzibar inaizidi nini Tanganyika. Kuanzia rasimali mpaka ardhi, idadi ya watu, mnaendeleo, viwanda. Kwanza hata umeme mnategemea utoke Bara mpaka visiwani. Ninyi ndio wategemezi. We unafikiri Sisi tunategemea nini Zanzibar. Niny ndio mnaongoza kuitaja bara . O bara wanatunyonya . Mnanyonywa nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa Eti mmetuzidi maendeleo hayo maendeleo yako wapi ...baraka ya njaa na dhiki ...umshukuru Nyerere tu wewe bila ya yeye mpaka leo usingelikua unacomment kwa kiswahili hapa!!!
 
Write your reply...Kuna watu hapa wanaingiza Uzanzibar ...siku ukijua huyo aliefanyiwa unyama huo ni mtanganyika mwenzako utakuja hapa kuomba msamaha ...sawa hatukatai tunawapapatikia waarabu ujue pia Watanganyika wanawapapatikia Wazanzibari na mnatuona kama waungu wenu ....kumbuka dunia hii ya Sasa sio kama ile ya Nyerere ukiyajua ya Wazanzibari nasi tunayajua ya Watanganyika ...Inapokuja mada uijadili kwa fikra huru kama una chuki zako peleka sehemu stahiki ...
estupide
 
Mleta uzi, muogope Mungu,kwa kusema uongo,hakuna muarabu anayeajiri nyumbani kwake mwanamme.Halafu pia 78%,ya wenyeji wa Oman,ni waTanzania,waliozaliwa Tanzania,Burundi,Rwanda,na ndio wengi wanaochukuwa wafanyakazi kutoka Afrika mashariki,na kule nchini Oman,wanajulikana ni waswahili au Mzanzibari,hata awe na rangi gani.Na kiswahili kinazungumzwa Omani utafikiri uko Tanzania.Kwa hiyo akitokea mtu kumtesa mfanyakazi,huyo atakuwa mjinga wa akili,kwa sababu anamtesa ndugu yake,kwasababu wengi walioko Oman ni damu mchamganyiko na makabila mbalimbali ya Tanzania,Rwanda,Burundi nk.

Sent using Jamii Forums mobile app
nakubali ...ila yote kwa yote waarabu ni wapumbavu
 
Mabolozi wetu wa huko huzibwa midomo kwa mlungula mnene wa pesa za mafuta...hawawez sema kitu.
Raia wetu wa huko ni vizur waje nyumbani tuvumilie wote njaa maana si kwa mateso hayo...
 
Uminywaji wa democracy, ufinyu wa ajira na ugumu wa maisha uliopo nchini ndo hupelekea vijana kwenda uarabuni kutafuta maisha
 
Ukweli nimejaribu kufatilia sana na kuna dada wawili waliendaa oman , kwa kipindi kirefu ...wakaja na shuhuda za uwongo eti wanalipwa mshahara mkubwa laki 7 kwa mwezi katika kuchunguza na kudadisi kumbe ni sh 75,000/- tu kwa mwezi

Na wengine wanafanyishwa mpk kazi za ukahaba matako yalishalegea wakifika huko wananyangwanya pasport na maajent wao

Wengine wananyofolewa mpk figo na maini yanaenda kuuzwa hospital kubwa kwa ajili ya tras planting kwa matajiri wenye hela zao

Dar es salamu na mombasa ndio kumejaa sana hao maagent wa kuwapeleka nje ambao wao kila mwezi wanapata kamisheni kupitia mishahara ya walio wapeleka

Waarabu co watu wazuri makatili sana ... Dada zangu nawasihi msiwe wepesi kiasi hicho ...kuahidowa mishahara mizuri hao ni waongo kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom