Kikwajuni One
JF-Expert Member
- Mar 18, 2013
- 13,149
- 6,994
Unadanganywa na kudanganyika,huyo sio muarabu,mavazi yanaonyesha wazi sio ya kiarabu,hayo ni mavazi ya kihindi.Huyo itakuwa wamedhulumiana kwenye biashara ya madawa ya kulevya,wacha watandikeni,wanaharibu vijana wengi,kwa biashara zao hizo.Hakuna nchi ya kiarabu inayolima madawa ya kulevya,ni nchi za whindi ndio wanalima madawa ya kulevya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani huyu Mwarabu hapo ikipigwa adhana atatoka nduki kuwahi swalaa! Hahahaaaa
Sent using Jamii Forums mobile app