Wordsworth
JF-Expert Member
- Jan 14, 2019
- 1,191
- 3,360
Kweli mtu yeyote anayetetea hizi nchi hasa hasa Saudi ajisikie aibu.
Waarabu wenzao wanawajua tu walivowakatili sembuse sisi?
Yaani huko asilimia kubwa ya wanawake wao wanaishi kama sio binadamu kamili sembuse wewe Muafrika.
Na sisi Waafrika tuache kwenda huko. Watu wengine miaka nenda rudi wanazisikia hizi stori lakini hawakomi.
Nawanao compare hii kitu ya South Africa na Saudi mkome. Bora hata viongozi wao wanakemea uovu unaoendelea kwao hawa Waarabu hata hawajigusi ina maana wanaona kinachofanyika ni sawa.