Kweli kabisa, na hilo litawapa wasaa wa kuamua kama wapo comfortable kuendelea na kazi au warudi nyumbani, maana nasikia wengine wananyang'anywa hadi pasipoti, Kuna kipindi nilisafiri na binti mmoja wa kighana alikuwa akitokea huko uarabuni kwenye kazi za ndani alikuwa analalamikia sana hii ishu ya ubaguzi hasa kwa watu weusi, labda treatment ya wafilipino na wahindi ina unafuu kiasiHuko nyumbani wanajua kuamrisha watu kuja kuripoti police tu
Lakini huu utaratibu wangeufanya pia kwenye balozi na kuwaambia hao wanaowadhamini na kuwachukua watoto wetu wawe wanawaleta au kuwatuma wafike balozini mara moja kwa mwezi na hiyo iwe kwenye mkataba anaosaini huyo Mwarabu.
Najua ubunifu ni zero kwa watu waliopewa majukumu na Rais yaani wanakula bata tu huko na hata fursa za kuchangamkia hawazioni wamefungwa macho na ufahamu.
Hakuna kusaini mkataba bila hicho kipengele kwani wanaingiza $ ngapi hao ndugu zetu kwa mwaka? Au wanaajiri engineers?
Wanawatumikisha masaa 20 kwa siku halafu na kuwapiga juu na kuwabaka juu halafu mnashindwa kuwa protect
What a shame
Kama mnashindwa kuwaangalia na kuwajali bali msitoe hizo ajira
Kuwaoana kila mwezi itasaidia sana hata kama wakilalamika kuwa wanapigwa au hawawezi kufanya kazi hizo masaa 20 unafuta mkataba with immediate effect
Hakuna kumbeba mfadhili kama anatuingizia mabillion kwetu HELL NO
Sent from my SM-G570F using Tapatalk