Usiwaseme vibaya wa arabu, waafrika wanateswa hata hapo South Afrika tena wanateswa na kuuliwa na Waafrika weusi wenzao! Tuache unafiki, ubaguzi upo sehemu zote, ngozi nyeusi inateswa popote pale
Ila ikiteswa na ngozi nyeupe inakuwa nongwa kwelikweli. Waafrika wanaouliwa sasa HV huko Afrika kusini,kwa sababu wanaofanya mauaji hayo ni Waafrika weusi,sijasikia mwanasiasa yoyote mweusi wa SA, akipiga kelele, kwa sababu wanajua kinachopelekea hayo, hari ya mbaya ya kiuchumi ya wa Afrika kusini weusi,ni vita ya kugombea rasilimali ajira lakini mauaji hayo yangefanywa na weupe, kelele zingekuwa nyingi sana.
Black American akimuua Black american ni sawa,hutasikia kelele,lakini Black american akiuliwa na Mweupe,kelele na maandamano kibao,ukweli mchungu ni kwamba,Black Americans wanauliwa sana na wenzao weusi kuriko weupe.
Sent using
Jamii Forums mobile app