Mateso wanayopata Waafrika Uarabuni hasa nchi za Saudi Arabia na Oman

Mateso wanayopata Waafrika Uarabuni hasa nchi za Saudi Arabia na Oman

Wazanzibar watakua washakuvua chupi si bure ndio maana akili zako zinakutosha mwenyewe
Nilikua nimesahau vipi yule mganga wa kukulinda ushampat, bado kama bado mtafute kwanza issue ya Wazanzibar huiwezi achana nayo
Hao ni Wazanzibari acha wapate tabu huko. Akipona hapo utasikia hii ni thawabu kuteswa na Mwarabu. Hii mijamaa inamwona Mwarabu kama ni nusu Mungu. Naishia hapa japo yapo Mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi watanganyika Chuki hii iliyopitiliza kwa wazanzibar kwa kubwa gani waliowatendea mimi sipati picha kabisa toka viongoz wenu vyombo vya ulinzi hadi machinga nyote mnaumwa na wazanzibar MJUE HAYA YANAMWISHO WASHENZ WAKUBWA
Hao wa Zanzibar wanapenda kujikomba kwa hao magaidi wacha waipate fresh

God first

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Write your reply...Kuna watu hapa wanaingiza Uzanzibar ...siku ukijua huyo aliefanyiwa unyama huo ni mtanganyika mwenzako utakuja hapa kuomba msamaha ...sawa hatukatai tunawapapatikia waarabu ujue pia Watanganyika wanawapapatikia Wazanzibari na mnatuona kama waungu wenu ....kumbuka dunia hii ya Sasa sio kama ile ya Nyerere ukiyajua ya Wazanzibari nasi tunayajua ya Watanganyika ...Inapokuja mada uijadili kwa fikra huru kama una chuki zako peleka sehemu stahiki ...
Watanganyika wengi wanauadui uliojificha dhidi ya Wazanzibar hawa wakipata fursa na uwezo wa kuviangamiza visiwa hivi hawatosita ila Mungu hatosimama pamoja nao

Inafikirisha haswa. Hivi hawa wanaowasema wazanzibari ni nini kinawaonyesha kwamba huyo anaepigwa hapo ni mzanzibar??

"Chuki zao zimo ndani ya vifua vyao"
 
Usiwaseme vibaya wa arabu, waafrika wanateswa hata hapo South Afrika tena wanateswa na kuuliwa na Waafrika weusi wenzao! Tuache unafiki, ubaguzi upo sehemu zote, ngozi nyeusi inateswa popote pale

Ila ikiteswa na ngozi nyeupe inakuwa nongwa kwelikweli. Waafrika wanaouliwa sasa HV huko Afrika kusini,kwa sababu wanaofanya mauaji hayo ni Waafrika weusi,sijasikia mwanasiasa yoyote mweusi wa SA, akipiga kelele, kwa sababu wanajua kinachopelekea hayo, hari ya mbaya ya kiuchumi ya wa Afrika kusini weusi,ni vita ya kugombea rasilimali ajira lakini mauaji hayo yangefanywa na weupe, kelele zingekuwa nyingi sana.

Black American akimuua Black american ni sawa,hutasikia kelele,lakini Black american akiuliwa na Mweupe,kelele na maandamano kibao,ukweli mchungu ni kwamba,Black Americans wanauliwa sana na wenzao weusi kuriko weupe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe Jamaa ni mpuuzi sijapata ona ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu twende taratibu bila ya jazba. Mmerakani ameingiaje hapa, hii issue inahusu Waafrika na Waarabu. Hili suala la mafuta limetokea wapi? hapa tunazungumzia mateso wapatayo wafanyakazi wa Kiafrika huko Uarabuni. Kwanza USA ina reserve ya mafuta mengi tu na wala hawayatumii yamehifadhiwa kama akiba na pili mafuta si kitu pekee cha kujivunia kwani hata Venezuela wanayo japo mikate ni bidhaa wanayoisafiria nchi za jirani kwani kwao haipatikani.
Haijalishi kama wewe ni Muarabu au unawaamini sana kwa sababu za kiimani lakini linapokuja suala la mijadala jaribu kujikita kwenye mada husika.
It's just an advice, take it or leave it.
Acha kujifanya unajenga hoja, kwani wewe ni kitu gani kinakuaminisha hiyo clip imechukuliwa uarabuni??? Kwa hiyo akisemw marekani kwako shida, ila akisemwa muarabu basi sawa tu.
 
Usiwaseme vibaya wa arabu, waafrika wanateswa hata hapo South Afrika tena wanateswa na kuuliwa na Waafrika weusi wenzao! Tuache unafiki, ubaguzi upo sehemu zote, ngozi nyeusi inateswa popote pale

Ila ikiteswa na ngozi nyeupe inakuwa nongwa kwelikweli. Waafrika wanaouliwa sasa HV huko Afrika kusini,kwa sababu wanaofanya mauaji hayo ni Waafrika weusi,sijasikia mwanasiasa yoyote mweusi wa SA, akipiga kelele, kwa sababu wanajua kinachopelekea hayo, hari ya mbaya ya kiuchumi ya wa Afrika kusini weusi,ni vita ya kugombea rasilimali ajira lakini mauaji hayo yangefanywa na weupe, kelele zingekuwa nyingi sana.

Black American akimuua Black american ni sawa,hutasikia kelele,lakini Black american akiuliwa na Mweupe,kelele na maandamano kibao,ukweli mchungu ni kwamba,Black Americans wanauliwa sana na wenzao weusi kuriko weupe.

Sent using Jamii Forums mobile app
acha ujinga pumbaaaaaavu....
 
Hii ishu ya wafanyakazi wa ndani kuteswa Uarabuni naliona sana, nadhani huu ni uzi wa 5 hivi kuuona hapa JF, inamaanisha wengi wanateswa sana (japo wapo wanaotendewa wema pia)
Suala la haki za binadamu huko Uarabuni lipo chini mno, hata kati ya Waarabu kwa Waarabu wenyewe pengine hata Afrika tuna afadhali pamoja na umasikini wetu
Hahahahahahaha. Haki za binaadamu, tuna matatizo sana sisi. Haki za binaadam ndio nini??
 
Hivi huko South Africa wanafungwa kwenye viti na kuchapwa kama watumwa? Huko wanasema nenda zako, huyu haendi kokote ni adhabu tu. Hakuna unyama wowote unaofanywa sehemu yeyote unaoweza justify huu tunaouona kwenye video.
Wasouth Africa wanauwa kabisa kaka wale sio, binaadamu. Juzi tu hapa tuliwasaidia kupigania uhuru wao kwa haliand na malimimi. Baada ya kufanikiwa hawataki yena kutuona. Ni wanyama tu kama haoha au zaidi
 
Watanganyika wengi wanauadui uliojificha dhidi ya Wazanzibar hawa wakipata fursa na uwezo wa kuviangamiza visiwa hivi hawatosita ila Mungu hatosimama pamoja nao

Sent using Jamii Forums mobile app
Nyerere aliwahi kusema angeweza angevipeperushia mbali visiwa vya Zanzibar. Hivi watanganyika mbona mna chuki sana na Zanzibar??

Kosa Lao ni kusema mungu wao ni Allah???
 
Acha uongo ...
Unafiki unakuzunguka mwilini pamoja na damu!
Mna shida sana ....mnaomwabudu mzungu...
Wazanzibar hawalazimishi uarabu ila itabaki kuwa hivyo wao ni dam mchanganyiko!

Naona umekurupuka tena hovyo hovyo ...kusema hili... uliza vizuri ..wengi wanaokwenda huko wametoka huko huko na wanaletwa hapa na wenzenu..watanga na watu wa singida jumlisha na wa mombasa ndio waliojaa huko.
Kumbe...Ndio maana mzungu aliwaita washenzi ...moja kati ya tabia za kishenzi ndio kama hii!
Mnyammwezi lake jembe...maana yake unaijua wewe?
Tipu tipu akiwafata huko huko...kuwapeleka kule kule utumwani!

Ulaya na Arabuni! mmesahau sio?

Huko wanaenda watwana ...

Hapo Dar kuna watu maalum wanafanya hiyo biashara ya binadamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Jibu basi mateso yapo au hayapo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata Marakeni ikisemwa kwa mabaya yake ambayo na yenyewe ni mengi tu nitachangia hoja kama kawaida,ila hapa tuendelee kutiririka na hoja iliyopo.
Nina fikra huru, siwezi kutetea upuuzi wowote uliofanywa au unaofanywa na yoyote.
Ni kweli hakuna proof ya kuwa hiyo clip ni Uarabuni lakini nimeona confessions nyingi za madhila waliyoyapata wanawake huko Oman na sehemu nyingine za Uarabuni, japo confessions nilizooni kwenye TV channels za Kenya karibu wanawake wote walikuwa ni Wakenya and almost all of then were from the coastal zone. So with or without that short video clip hayo mateso ya kitumwa yapo kwa Waafrika wafanyao kazi huko Uarabuni, wengine wamekuwa sex slaves kabisa.
For this shit to be happening in the 21st Century ni aibu iliyokithiri,so hoja ya kusema kuna nchi nyingine sijui zinafanya nini haibadilishi uzandiki wa hao Waarabu.
Acha kujifanya unajenga hoja, kwani wewe ni kitu gani kinakuaminisha hiyo clip imechukuliwa uarabuni??? Kwa hiyo akisemw marekani kwako shida, ila akisemwa muarabu basi sawa tu.
 
I swear, nilikuwa na marafiki zangu wengi ambao nikikaa nao utasikia weeee mimina kahawa na kama unajua kikombe ni kidogo sana kwa hiyo x4 tu kwisha.
Mimina tena na chupa ikiisha kapike tena akichelewa kofi linamhusu
Wakati mwingine nawahurumia lakini hapo ndio utajua hawa kila nchi wanafanya wanavyowekwa

Sent from my SM-G570F using Tapatalk
[emoji16][emoji16][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi watanganyika Chuki hii iliyopitiliza kwa wazanzibar kwa kubwa gani waliowatendea mimi sipati picha kabisa toka viongoz wenu vyombo vya ulinzi hadi machinga nyote mnaumwa na wazanzibar MJUE HAYA YANAMWISHO WASHENZ WAKUBWA

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu taratibu jengeni hoja, matusi yametawala, haijengi sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali kupitia balozi za Oman na Saudi Arabia, muwe na vikao vya mara kwa mara na Watanzania waishio huko, wengi wanateswa na kuuawa pasipo msaada wowote kutoka Balozi zetu.

Muwe mnafanya vikao angalau mara mbili kwa mwaka, ili mjue changamoto mbalimbali wanazopitia watu wenu.

Nina uhakika idadi na taarifa zao mnazo ila ni uvivu tu wa kuwafatilia na kujua wanaendeleaje.

Maeneo au machinjio ya waafrika wengi ni Saudi Arabia na Oman....Haya ni maeneo hatari sana sio kama Dubai au Qatar, tafadhali Balozi za Oman na Saudi Srabia saidieni Watanzania.

View attachment 1070124

Sent using Jamii Forums mobile app
Yaani huyu Mwarabu hapo ikipigwa adhana atatoka nduki kuwahi swalaa! Hahahaaaa
 
Back
Top Bottom