hahaaaa....manina wallahi...nimecheka daaahh.....Bwana mkubwa,utalea mwanao!
hahaaa...daahh wabongo nimewashindwa ""Nao wakazi wa mji wakamshangilia mkuu wao wakisema Ubarikiwe ee mkuu sana abarikiwe na baba yako Kipara maana enzi ya enzini ni yake milele.Ndipo wakuu wa wale watumishi majoho meupe wakatahayari wakainamisha nyuso zao wakaondoka vichwa chini kwa huzuni huku wakipiga piga vifua vyao
Nao walipokuwa katikati ya rigwaride,Mara mawasiliano yakakatika!wakasema natuone mtakavyopeana habari..shubammmmit. kukawa kimya kikuu mpaka mtukufu kaisari alipomaliza kusema na wana wa nchi ile ndipo ardhi ikatikisika na mawasiliano yakarejea tena.Hata ilipotimu siku ya pili, askari katika mji jirani na bahari ya Galilaya wali ruka na kutwanywa "Amini amin nawaambia msipowa tengua magoti wana hawa na kuwararua mitumba wavaayo pamoha na kuwarushia maji yaliotiwa chachu hakika hapana thumni itakayo piga kelele mifukoni mwenu" Nao baada ya amri ile kutoka chini ya mlima oduzungwa waliitika "Sisi ni nani ata tusitii sheria yako"? Wakazagaa mitaani huku wakipaza sauti na virungu mkononi "wapigwee wapigwee" pasipo kujua kua mvua i juu yao.
na kumbuka ile habari ya mwana wa kaisari wa jiji lile kuu la kibiashara aliposema kuwaambia watu wenye majina makubwa ndani ya jiji lake..."enyi watu wenye majina makubwa makubwa mnaonaje mkienda kupimwa MIKOJO"Nalo jeshi la pilato likatoa tamko kuhusu kukusanyika bila kibali mjini mwa Daudi karibu na bahari ya galilaya....wakasema hii ni nchi niliyompa mwanangu mpendwa wangu iwe urithi wake,mbona mnapanga ghasia na kutafakari ubatili juu yake?
Ndipo baada ya hayo akatokea mmojawapo wa kijakazi wa Yule askari wa kirumi akasimama Karibu na ule mji mteule na kusema,,ole wake kafiri yeyote atakayeandamana Pamoja na wana wa mbwa koko hao hakika mtapambana na Hali zenu[emoji23] [emoji23] [emoji23]na kumbuka ile habari ya mwana wa kaisari wa jiji lile kuu la kibiashara aliposema kuwaambia watu wenye majina makubwa ndani ya jiji lake..."enyi watu wenye majina makubwa makubwa mnaonaje mkienda kupimwa MIKOJO"
Ndipo wakatoka na taa na mienge na mabango ili kuandamana pamoja na zerubabeli mkuu. Mara kusanyiko lote likapaza sauti na kusema"hatumjui mtu huyu".Ndipo baada ya hayo akatokea mmojawapo wa kijakazi wa Yule askari wa kirumi akasimama Karibu na ule mji mteule na kusema,,ole wake kafiri yeyote atakayeandamana Pamoja na wana wa mbwa koko hao hakika mtapambana na Hali zenu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Na alikuwepo mwanamke mmoja aliyeishi katika jiji lile,akashtakiwa kwa ushahidi wa mkojo.na kumbuka ile habari ya mwana wa kaisari wa jiji lile kuu la kibiashara aliposema kuwaambia watu wenye majina makubwa ndani ya jiji lake..."enyi watu wenye majina makubwa makubwa mnaonaje mkienda kupimwa MIKOJO"
Wakamjibu kwa Pamoja turudishieee vipande 1.5 vya dinari ulizozitwika toka kilindini la sivyo utasulibiwaPilato akawauliza tena,"fisadi mimi?"nimehangaika kukusanya mapato lakini mwasema pakacha la dinari linavuja,niwatendeje watu hawa?
Leteni sarafu mnayotumia,akauliza ina sura ya nani? BASHITEEEEEEEEEEE akawaambia Mpeni yaliyo yake BASHITE na Mpeni yaliyo yake MZIRAMKENDE.Ndipo Yule kaisari akajibu.....
kisha wakatokea wanafunzi wake mmoja wapo akiwa amebatizwa jina la baba wa nchi ile ......wakavujisha ujumbe ule wenye sauti yake na ya mama wa mwanamke aliyeshtakiwa na mwana wa BASHITE jina'le DAUDI .........wakiongea kuhusu makosa ya mwana wa BASHITE huyo kumzinisha mwanawe kwa kumtaka na baada ya kukataa azma yake akamuhukumu kwa amri ya PILATO!!!Na alikuwepo mwanamke mmoja aliyeishi katika jiji lile,akashtakiwa kwa ushahidi wa mkojo.
Ikiwa Kabla ya ile hukumu kutolewa Bwana DAUDI alitoa amri kuu....Enyi wana wa mji huu wa baba yangu na Kila nyumba ikaguliwe akipatikana mwanaume yeyote akamatwe apelekwe kwa kaisari akapimwe tezi dume Ni amri Sio ombi!!!!!???[emoji35] [emoji35] [emoji35]kisha wakatokea wanafunzi wake mmoja wapo akiwa amebatizwa jina la baba wa nchi ile ......wakavujisha ujumbe ule wenye sauti yake na ya mama wa mwanamke aliyeshtakiwa na mwana wa kondoo jina'le DAUDI .........wakiongea kuhusu makosa ya mwana wa HERODE huyo kumzinisha mwanawe kwa kumtaka na baada ya kukataa azma yake akamuhukumu kwa amri ya PILATO!!!
tena akarudia kauli yake kwa ile sauti kuu na yenye mamlaka...."NAWAPIMWE KWA VIDOLE...!!!!!"Ikiwa Kabla ya ile hukumu kutolewa Bwana DAUDI alitoa amri kuu....Enyi wana wa mji huu wa baba yangu na Kila nyumba ikaguliwe akipatikana mwanaume yeyote akamatwe apelekwe kwa kaisari akapimwe tezi dume Ni amri Sio ombi!!!!!???[emoji35] [emoji35] [emoji35]
Ndipo akatokea Yule kaisari Mkuu wa watoza ushuru akasimama mbele ya baraza na kupaaza sauti kwa nguvu akasema "kuna dinari 1.5 zimeliwa na wevi na wanyanganyi" Ndipo akatokea mmojawapo wa wafuasi wa Yule msamaria jina lake tozibweka na kusema arudisheeee!!!!!
Baada ya kauli hiyo akasema, Mimi ndie Mungu wa mji huu na yeyote atakayepinga amri zangu basi na akabidhiwe watu wasiojulikanatena akarudia kauli yake kwa ile sauti kuu na yenye mamlaka...."NAWAPIMWE KWA VIDOLE...!!!!!"
Wakalia kwa sauti kuu wakiomboleza,wajua jinsi tusivyo na nguvu za kiume!ukitutia dole utaishi na wake zetu?wakagaragara wakiomba utuhurumie!tena akarudia kauli yake kwa ile sauti kuu na yenye mamlaka...."NAWAPIMWE KWA VIDOLE...!!!!!"