Mateso ya wana daresalama yalivyoandikwa na msimulizi mnoko.

Wakalia kwa sauti kuu wakiomboleza,wajua jinsi tusivyo na nguvu za kiume!ukitutia dole utaishi na wake zetu?wakagaragara wakiomba utuhurumie!

Ndipo hapo shauri jengine likapita ya kuwa kila kona ya mji na nchi ile watapimwa ule ugonjwa Sugu usio kuwa na dawa,wakakubaliana na matabibu ya Kwamba waanze kupita katika vilabu vyote vinavyo uzwa Divai na kuanza kupima ukimwi.
 
Ndipo yule askari wa jemedari mkuu akapigapiga kifua akisema huyu hakika ndiye tuliyemngoja!je haikuandikwa kuwa msipofanya kazi mwafa!?
 
Back
Top Bottom