ukuwi
JF-Expert Member
- Jan 7, 2017
- 861
- 1,426
Wakalia kwa sauti kuu wakiomboleza,wajua jinsi tusivyo na nguvu za kiume!ukitutia dole utaishi na wake zetu?wakagaragara wakiomba utuhurumie!
Ndipo hapo shauri jengine likapita ya kuwa kila kona ya mji na nchi ile watapimwa ule ugonjwa Sugu usio kuwa na dawa,wakakubaliana na matabibu ya Kwamba waanze kupita katika vilabu vyote vinavyo uzwa Divai na kuanza kupima ukimwi.