Habari za wakati huu ndugu,
Nina jambo ambalo kiukweli linaumiza roho yangu ninapoona likitendeka ila Sina lakufanya kwasababu wahusika wanakua na silaha za jadi mara zote na wanaonekana kuwa watu wa uraibu, suala lenyewe ni kuhusu Hawa waendesha magari ya Ng'ombe na punda Unguja wanaowapiga wanyama wao Hawa kwa kutumia aidha mabapa ya mapanga au mapauro, sijajua kama Kuna sheria juu ya Hawa wanyama au la na kama ipo basi wahusika wanaofanya enforcement basi waongeze nguvu kidogo Hawa wanyama unguja wanapigwa vibaya sana naomba mamlaka ziliangalie hili.