Mali asili wafuatilie, ni ukiukwaji wa haki za wanyama.Habari za wakati huu ndugu,
Nina jambo ambalo kiukweli linaumiza roho yangu ninapoona likitendeka ila Sina lakufanya kwasababu wahusika wanakua na silaha za jadi mara zote na wanaonekana kuwa watu wa uraibu, suala lenyewe ni kuhusu Hawa waendesha magari ya Ng'ombe na punda Unguja wanaowapiga wanyama wao Hawa kwa kutumia aidha mabapa ya mapanga au mapauro, sijajua kama Kuna sheria juu ya Hawa wanyama au la na kama ipo basi wahusika wanaofanya enforcement basi waongeze nguvu kidogo Hawa wanyama unguja wanapigwa vibaya sana naomba mamlaka ziliangalie hili.
Bora wanaochinja wanyama mkuu,mtu anayekata miti huyo ni sawa na muuwaji wa binadamu.Anaemtendea mnyama unyama ni rahisi kumtendea binadamu mwenzake.
Zamani nilikua nawagwaya sana wanaochinja wanyama, kuna namna wana roho ngumu kama wale wakata miti ya mbao.
Wote wauaji wa viumbe hai.Bora wanaochunja wanyama mkuu,mtu anaykata miti huyo ni sawa na muuwaji.
Dini sio kigezo cha mtu kuto kufanya makosa mkuu,hao wameamua kufuata akili zao zinavyo watuma,ukirudi kwenye dini hilo la kutesa wanyama halija ruhusiwa kwa yeyote.Kila siku huwa tunasema dini sio chanzo cha maadili(morality). Huku Zanzibar wote wanaswali mara tano kwa siku na wanaijua dini kama vidole vyao vya mikono ila Kiko wapi
Hayo sio makosa, ni kwamba hawana moral awareness au consciousness ya kujua wanawatesa hao wanyama isivyostahili kabisa.Dini sio kigezo cha mtu kuto kufanya makosa mkuu,hao wameamua kufuata akili zao zinavyo watuma,ukirudi kwenye dini hilo la kutesa wanyama halija ruhusiwa kwa yeyote.
lakini kwanini pasiwe na kutii kwa sheria juu ya viumbe hai wote na si binadamu tu.Wote wauaji wa viumbe hai.
Huyo anaetesa si ajabu kaaminishwa hao wanyama hawahisi maumivu, kama ilivyokua zamani walipoamini mtoro mchanga hahisi maumivu hivyo alikua anashonwa bila ganzi.
Ni makosa,na wanajua kabisa wakimpiga anasikia maumivu na kutembea au kukimbia pia wanyama hao wanatambua kama ni adhabu.Hayo sio makosa, ni kwamba hawana moral awareness au consciousness ya kujua wanawatesa hao wanyama isivyostahili kabisa.
Mkiwa mjini huwa mnafarijiana sana,kwamba wewe kwako huna kitu chochote kinachotokana na zao la mti?Bora wanaochinja wanyama mkuu,mtu anayekata miti huyo ni sawa na muuwaji wa binadamu.
The atlantic hwbu niache😂..Mkiwa mjini huwa mnafarijiana sana,kwamba wewe kwako huna kitu chochote kinachotokana na zao la mti?
Au chakula unachokula hujui nyuma yake kuna maandalizi ya mashamba? Labda uwe umemaanisha jambo jingine
Tunaishi kwa mazoea, siku hilo jambl likiwa ni mtaji kisiasa basi litakemewa na watu wataswekwa ndani.lakini kwanini pasiwe na kutii kwa sheria juu ya viumbe hai wote na si binadamu tu.
NB.Najua sheria zipo Je,ni kwanini hazizingatiwi?
Aisee.Tunaishi kwa mazoea, siku hilo jambl likiwa ni mtaji kisiasa basi litakemewa na watu wataswekwa ndani.
Maliasili hawahusiki na wanyama wakufugwaMali asili wafuatilie, ni ukiukwaji wa haki za wanyama.