Taja sehemu moja huko Southern Dar iliyo kama Mathare!! Unakujua, au unasikia tu kwamba Southern Dar ndie eneo lenye watu maskini zaidi?!
Hutakuja kuona slums in Tanzania.
Tanzania hakuna slum's Kenya zipo NNE ambazo ni kubwa duniani
These are slums right in the heart of Dar es Slum 's CBD .
Wakati wengi mkiwahurumia wakati wa Kibera, mumesahau kwamba kuna mdogo wake yupo katika hali mbaya kuliko Kibera. Ninawaomba japo dakika moja tusimame kimya kuikumbuka "Mathare slums camp"..........Amen.
These are slums right in the heart of Dar es Slum 's CBD .
Tena sio Kibra[emoji23][emoji23][emoji23]. Mumeona after Upgrades kadhaa Kibra inapotea mkakimbia Mathare. These slums are there because of poor housing regulations by the government na watu wanaishi hapo wanalipa rent na stima. Hizi sio zile dream house zenu permanent.
Wakati wengi mkiwahurumia wakati wa Kibera, mumesahau kwamba kuna mdogo wake yupo katika hali mbaya kuliko Kibera. Ninawaomba japo dakika moja tusimame kimya kuikumbuka "Mathare slums camp"..........Amen.
More than words could ever say...Kumbe kenya ni watu wa hovyo sana
Hii ni kukuonyesha kwamba Kenya imebarikiwa sana kwa slums, sio moja au mbili, zipo nyingi sana. Sasa kwasababu tulikua tunazungumzia Kibera kwahiyo hatupaswi kuzungumzia slums zingine, au Mathare sio Slums?Tena sio Kibra[emoji23][emoji23][emoji23]. Mumeona after Upgrades kadhaa Kibra inapotea mkakimbia Mathare. These slums are there because of poor housing regulations by the government na watu wanaishi hapo wanalipa rent na stima. Hizi sio zile dream house zenu permanent.
Hahahaha, mbona una " beep" na kutoka?, funguka acha kubahatisha, hapa ni wapi?. Ninaona kama "deserted area", kama karakana. Hapa ndio wapi?. Mathare au Kibera?
Apa sio tz
Palishavunjwa ilikua miaka ya nyuma kidogoThese are slums right in the heart of Dar es Slum 's CBD .
Acha kuspread propaganda ewe albino eater, the road was fixed long time ago.Hahahaah
Leta evidence.Palishavunjwa ilikua miaka ya nyuma kidogo
Khaaa we nahisi miraa zimekuzidi kichwani.
Acha kuspread propaganda ewe albino eater, the road was fixed long time ago. View attachment 1212661
Weweee kheri dream house hukaa na mazingira mazuri kuliko nyumba za mabati ambazo unatakiwa uchome chanjo ya pepopunda kabla haujalala.Tena sio Kibra[emoji23][emoji23][emoji23]. Mumeona after Upgrades kadhaa Kibra inapotea mkakimbia Mathare. These slums are there because of poor housing regulations by the government na watu wanaishi hapo wanalipa rent na stima. Hizi sio zile dream house zenu permanent.
Hayo si maeneo ya wavuvi????
Hayo maeneo ya ilala.Leta evidence.
So between me and you who is stupid. OK here are the comments.Mjinga wewe, kasome comment za wakenya wenzako