Mathare slums, which is few minutes from CBD, is the poorest part in entire World

Taja sehemu moja huko Southern Dar iliyo kama Mathare!! Unakujua, au unasikia tu kwamba Southern Dar ndie eneo lenye watu maskini zaidi?!
V2KFif0.png
 
Wakati wengi mkiwahurumia wakati wa Kibera, mumesahau kwamba kuna mdogo wake yupo katika hali mbaya kuliko Kibera. Ninawaomba japo dakika moja tusimame kimya kuikumbuka "Mathare slums camp"..........Amen.

These are slums right in the heart of Dar es Slum 's CBD .

V2KFif0.png
 
Wakati wengi mkiwahurumia wakati wa Kibera, mumesahau kwamba kuna mdogo wake yupo katika hali mbaya kuliko Kibera. Ninawaomba japo dakika moja tusimame kimya kuikumbuka "Mathare slums camp"..........Amen.
Tena sio Kibra[emoji23][emoji23][emoji23]. Mumeona after Upgrades kadhaa Kibra inapotea mkakimbia Mathare. These slums are there because of poor housing regulations by the government na watu wanaishi hapo wanalipa rent na stima. Hizi sio zile dream house zenu permanent.
 
Hii ni kukuonyesha kwamba Kenya imebarikiwa sana kwa slums, sio moja au mbili, zipo nyingi sana. Sasa kwasababu tulikua tunazungumzia Kibera kwahiyo hatupaswi kuzungumzia slums zingine, au Mathare sio Slums?
 
Tena sio Kibra[emoji23][emoji23][emoji23]. Mumeona after Upgrades kadhaa Kibra inapotea mkakimbia Mathare. These slums are there because of poor housing regulations by the government na watu wanaishi hapo wanalipa rent na stima. Hizi sio zile dream house zenu permanent.
Weweee kheri dream house hukaa na mazingira mazuri kuliko nyumba za mabati ambazo unatakiwa uchome chanjo ya pepopunda kabla haujalala.
We chumba cha 12×12 watu wanalala na mbuzi.Halafu sasa hzo nyumba na banda langu la punda,banda langu la donkey safi lina rangi linapendeza.Ninyi watu mna maisha mabaya duuuuh.
 
Back
Top Bottom